Naomba mnisaidie!

Bambanza jr.

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
355
36
Hivi ni ubinafsi au ndo kutokujua? Nashindwa kuelewa humu ndani kuna matatizo gani, kwani majukwaa yanayokuwa na wachangiaji wakutosha ni la siasa, la mahusiano,urafiki na mapenzi na lile la vichekesho,utani mengine kama la sheria watu wameyaacha! Ushaidi: niliingiza uzi wangu kule jukwaa la sheria nikiomba kujua maana ya 'sheria kandamizi' tar8 kwan siku ya wanawake duniani waliahinisha moja kati ya vikwazo ni hicho bt sizielewa NAOMBA KUSAIDIWA TAFADHALI.....!
 
Back
Top Bottom