Naomba mnipokee

Mi nikajua unatoka Ccm unakuja UKAWA bwana!!. Lakini karibu pia hivyo hivyo.
 
halafu mnyez mbona unamtisha mgeni bwana mjukuu wetu ngoja akae apumzike tumtengezee chai tumsikilize nyuz zake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom