Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kriibu new mdau! Kwa tatizo lolote nifahamishe!
Uniform umeshapewa ?
Kama bado anzisha Thread fasta yenye heading "NAOMBA SARE ZA JF"
Ukidelay hadi kesho muda kama huu sare umezikosa !
Shauri yako, usije kulalamikia member hapa .
Karibu sana
Hahahaaa unataka wa kuchukua nafasi ya Bi Nyakomba?mlete huku kaka...aaah sorry sijajua jinsia...tulia kwanza!
Hahahaaa unataka wa kuchukua nafasi ya Bi Nyakomba?
Hahahaa kwani kapotelea wapi?yule mwanamke bure kabsaa!...hafugiki kama kunguru aisee!
Hahahaa kwani kapotelea wapi?
Mwenzio Excellent kajipatia kimwana wa kudumu nakushangaa wewe unazubaa tu
Haya ndo mazingira....Kesho akija aniambie nimtambulishe kwa shemeji na dada zake then mwishoni nitamtambulisha kwa kaka zake wote ndani ya Chit-Chat...mazee tumchek bana mshkaji mgeni kaja humu...acha noma!...muoneshe mazingira ya humu!