Naomba mnipokee mwenzenu

Dr. Welelo

Member
Oct 14, 2012
13
8
Nipo siku nyingi humu nikiwasoma kama mgeni, leo nimeona nijiunge na mimi nipate kuchangia mawili matatu kulingana na uzoefu wangu kwani sasa nina muda wa kutosha baada ya kumaliza majukumu yaliyokuwa yamenitinga.

Naomba mnipokee tafadhalini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom