Naomba Mnijuze Tafadhali

Mbu;:shut-mouth:......................Sasa naona tunaharibiana kazi,nilishaoteshwa tangu jana kuwa mwanaj1 atakuwa mteja wangu no1.Bado namsisitizia kuwa akipuuza maagizo, hali itazidi kuwa mbaya!Kwa huduma ya kwanza,leo anapolala ahakikishe amevaa underwear ya mwenzi wake.
 
masuala haya tunazungumzia africa almost exclusively

mfano imani hii ya chuma ulete
hai apply kwenye credit cards na debit cards
but ukiwa africa unajikuta na wewe unaishi kiafrica lol

Mkuu kwa hiyo wanawake wa Africa tuu ndio wanaokuwa au wasiokuwa na kismati?

...haya sasa,...halafu masharti yenyewe ndio utasikia eti akakogeshwe na 'fundi' baina ya saa nane nanusu usiku na kumi alfajiri!...wao wawili tu kwa masharti Mwj1 awe amejifunga upande wa kaniki!
No way, Mwj1 hata kama ni 'Gundu' bora tu ulikubali! ...hakuna kusafishana kwa namna hiyo bana...LOL!

Mkuu huo sasa utakuwa ni uchawi

:confused2:

Umewahi kuingia dukani then ghafla wateja wakajaa hat kama hujanunua bado unachaguachagua?Jambo hili lishanitokea mara kwa mara,na mwenye duka mmoja alilinote sijui au sijui alijuaje lakini kila nikipita lazima aniite na kunitaka ni ninunue chochote hata kwa kukopa kama sikopi basi ninywe hata soda kwa bili yake.Kwa kuwa ni mwanaume nilifikiria vingine,ila kila nilipoendelea kumchunguza sikuona dalili ya zaidi ya uteja.Siku moja nilipita akawa yupo mfanyakazi wake,nikamhoji kuhusu bosi wake kuniitaita kila mara.Ndio nikaujua ukweli,eti mm nikingia tu wateja wanajaa na mauzo yavuka wastani wa siku zote.Niliamua kubadili njia kwani nihisi sasa naweza kufanyiwa yaliyowakuta ndugu zetu maalbino.Ila nilipojifuatilia mimi binafsi,ni kweli nikiingia kwenye biashara ya mtu,iwe dukani,sokoni,mitumbani nk,watu wanajaa sana kwa ghafla.Hata sijielewi,na sijui niamini lipi wapendwa

Kuna wakati mwingine hiyo inafanywa kwa dili. Kinachofanyika mwenye duka anaandaa watu wake halafu mtu akiingia tuu dukani nao wanaingia kama wateja bila kuonyesha kuwa duka linatembelewa sana. Wewe ukitoka hapo hata kama hujanunua kitu, obviously utaenda kuhadithia watu wengine kuwa like dula huwa linajaa sana na vikorombezo vingine. Indirect advertisement.
 
aiseeeee,umenifumbua macho hapa EMT.Ila sijawahi take seriously issue hizo,kama lengo lilikuwa hilo kwa yule jamaa basi alifail kwani mimi nilimuogopa na kama ni kumtanga au kuhadithia watu it was in a negative way.Haya mambo bwana...............
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mbu;:shut-mouth:......................Sasa naona tunaharibiana kazi,nilishaoteshwa tangu jana kuwa mwanaj1 atakuwa mteja wangu no1.Bado namsisitizia kuwa akipuuza maagizo, hali itazidi kuwa mbaya!Kwa huduma ya kwanza,leo anapolala ahakikishe amevaa underwear ya mwenzi wake.

Scarry stuff!...niliwahi kuishi na mtu wa namna hiyo...eti alikuwa anajiskia raha kulala na underwear zangu.
Sasa ndio naelewa.

Mkuu kwa hiyo wanawake wa Africa tuu ndio wanaokuwa au wasiokuwa na kismati?

Mkuu huo sasa utakuwa ni uchawi

...ni imani potofu. Sipendi watu wanaotaka kuwafanya wenzao mandondocha.
Unapoyaamini haya madudu ndipo unapodhurika, mimi hujionea 'wanajichafua' tu!

I believe in true love, hardworking na ku prioritize mambo mbali mbali kwenye maisha ya kila siku.
Sio kusubiria elimu ya nyota, kukoshea kombe, kutizamia, sijui unajimu...what a waste!
 
aiseeeee,umenifumbua macho hapa EMT.Ila sijawahi take seriously issue hizo,kama lengo lilikuwa hilo kwa yule jamaa basi alifail kwani mimi nilimuogopa na kama ni kumtanga au kuhadithia watu it was in a negative way.Haya mambo bwana...............

Haitokei kwa wote lakini. Kwa hiyo usi-generalise. But I can assure you these things exist. Cha maana ni kujaribu kufikiri nje ya kiboksi.
 
Jamani,kesho basi my friends.Naona macho yanataka kuandamana,kilichoshindikana ni namna ya kuchomoka hapo yalipo.
 
unaweza usiamini but mimi nna ndugu machotara
ambao elimu yao ya kawaida but always wako better off kulinganisha na ndugu wengine ambao wamesoma sana
could be culture
but nafikiri kuna kitu kimejificha

Hahahahahahah,

Huo ni ulimbukeni wetu tu wa kushobokea coloured milk! Haina uhusiano wowote na gundu au ngekewa kama alivyoeleza mtoa mada!
 
Inawezekana kutokea kwani hata kiimani laana zipo na zinaweza mpata mtu yoyote.mbaya zaidi laana inarithiwa kizazi na kizazi.
so unaweza kuwa na mtu mwenye milaana tioka kwa Mungu ikawa balaa kwako pia.
lakini inawezekana pia kipindi umekutana na huyo mwenzi mpya riziki nayo ikawa ngumu na ukaanza muhisi mwenzio kama chanzo na kumbe hata hahusiki hata kidogo.
riziki nayo ni kama majira ya mwaka,kuna kipindi cha mvua nyingi na jua kali.
 
Scarry stuff!...niliwahi kuishi na mtu wa namna hiyo...eti alikuwa anajiskia raha kulala na underwear zangu.
Sasa ndio naelewa.
Duh watu mnapitia mengi!! But Mbu inawezekana huyo haikuwa kwa ajili hiyo!!! Unless kama umeshawahihisi kuwa ni mshirika au anaamini hayo mambo!! pengine ni mapenzi tu loh............. wajua sometimes wanawake tunakuwaga kama wajinga kufanya lolote ili wenzi wetu watuone kwao tumefika!!
 
Sasas wewe mjukuu hebu tupatie hitimisho...Umeamini kuna gundu au halipo?
 
...Mwj1, hilo la kukogeshwa na fundi usiku wa manane nimelisikia kwake!
nikielezea zaidi itakuwa simtendei haki. Niliachie hapo.

Kiukweli nami niliona ni ujinga haswaa...kwani hapakuwa +ve results.

Swali;

...Hivi,...mfano; Mbu na Mwj1 tumependana, hatuoni 'hatusikii la muadhini wala mnadi swala'
tukaamua kuoana. Mzazi wa upande mmojawapo akakataa kata kata tusioane!
Tukiendelea na azma yetu, tunajipa nuksi na mikosi?
wangapi wanaamini hivyo?

Nimesisitiza mzazi, kwani kuna wale vishan'kupe wanaojidai, "tulikwambia sie....!" as if wao ni wanajimu!

Siku njema.
 
Ukiwa na uvivu wa kufikiri utamwacha mpenzi wako....Mimi niliachwa eti kwa kuwa wazazi walinikataa na sasa huyo dada haishi kuniimbia kuwa nilikuwa her No. 1 (alikimbiwa na mume ndani ya miaka 2 toka aolewe!!). Hata hivyo nilimweleza kuwa lilikuwa jukumu lake kusomesha wazazi kwa nini tunaamni kuwa sisi ni damu damu ila alichukulia mambo kimzaha mzaha!
 
WanaMMU-JF..........habari za weekend?

Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa katika mahusiano na mapenzi kuna aina mbili za wanawake
1. Wale wenye kismat....yaani bahati flani kiasi kwamba akiwa kwenye mahusiano na mkaka basi huyo kaka mambo yake yanakuwa tambarare........
2. Wale ambao huwa wanakuwa kama wana nyota mbaya (wenyewe huita gundu???) ambao wakiwa kwenye uhusiano basi wenzi wao huwa na wakati mgumu sana kwani hakuna kinachofanikiwa be it kikazi, biashara yaani kimaisha kwa ujumla!!...

(Sasa sijui in yale ya Hayati Sheikh Yahya!)

So naomba msaada wa kujua yafuatayo
1. Je kuna ukweli wowote katika hili? na
2. Kama ni kweli, je na upande wa wanaume nao wapo wenye kismati na wasio nacho?

ni hayo tu, aksanteni

hakuna ukweli ni swala la kuchakalika tu na kuhangaika na maisha.
 
Sasas wewe mjukuu hebu tupatie hitimisho...Umeamini kuna gundu au halipo?
Hahahah babu mpaka sasa kuna pande mbili zinazokaribiana. Wale wasioamini wanatoa kutokuamini kwao kwa kubase kwenye scientific na objective explanation. Kuwa hakuna kitu kama hicho. But wale wanaoamini kuwa kuna vitu kama hivyo very unfortunately wametoa concrete and vivid examples ambayo inahappen katika jamii yetu. Sasa MJ1 bado yuko njia tata.

NN ameeleza issue ya influence..ambayo nami ninaibuy kwa asilimia zote lakini kabla sijaconclude niliomba wale wanaoamini hii kitu watupe mchanganuo wa tabia, namna walivyokuwa wanaishi na hizo characters mbili in terms of ushauri waliokuwa wanawapa, support, na ikiwezekana na ushauri juu ya kutumia mali na fursa mbalimbali walizokuwa wanazipata/kosa wakati wako nao......Sijapata jibu
 
...Mwj1, hilo la kukogeshwa na fundi usiku wa manane nimelisikia kwake!
nikielezea zaidi itakuwa simtendei haki. Niliachie hapo.

Okay....nimeelewa sana. Ni kweli haitakuwa fair. Ubarikiwe.

Kiukweli nami niliona ni ujinga haswaa...kwani hapakuwa +ve results.

Swali;

...Hivi,...mfano; Mbu na Mwj1 tumependana, hatuoni 'hatusikii la muadhini wala mnadi swala'
tukaamua kuoana. Mzazi wa upande mmojawapo akakataa kata kata tusioane!
Tukiendelea na azma yetu, tunajipa nuksi na mikosi?
wangapi wanaamini hivyo?

Nimesisitiza mzazi, kwani kuna wale vishan'kupe wanaojidai, "tulikwambia sie....!" as if wao ni wanajimu!

Siku njema.

.......Hahahah okay hapa nimeelewa (Sijui kwa vile umentolea mfano mie loh!!) kusema ukweli huwa kuna vitu ambavyo hunichanganya akili kimoja wapo ni hiki. Eti wazazi wasipoafiki basi hamtafanikiwa.........bahati mbaya huwa ni logic tu ya mtu. Mimi ninakumbuka ndugu yangu mmoja aliamua kuolewa na mtu ambaye familia yake hawakuafiki kabisa na kwenye arusi waligoma kwenda........yule dada akaolewa, of coz alikutana na matatizo ambayo baadae unagundua ni yale ya "aecond trimester" ya ndoa.......alivumilia hakukohoa hata kwa ndugu mmoja akihofia hizo "si tulikwambia".............. Sasa hivi wanaishi maisha mema na mumewe na ndio wamekuwa msaada mkubwa kwa hao hao "maadui" wao.

Kwa hiyo Mbu we leta tu posa kwetu, haijalishi wanaafiki au la......ila mahari ilete kwangu ntaifikisha!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom