Naomba Mnijuze Tafadhali

Kama kila kinachotokea hapa duniani kingekua kina maelezo ya kisayansi maisha yasingenoga.

Naomba unitajie vile ambavyo havina maelezo ya kisayansi na utanisaidia sana kutoa uthibitisho wa kina jinsi ambavyo vimesaidia maendeleo ya binadamu toka enzi za zana za mawe!

DC
 
Babygal.......nawe ulishasikia eh?? Yaani mie hadi nikawa nawaza kama ni kweli je hakuna njia ya kuweza kudetect mapema ili umpate mwenye kismet tu?

Kusikia hata mimi nimeshasikia lakini sijapata maelezo ya kunishawishi kuwa ni kweli. Maelezo ninayosikia ni ya kijumla mno .
 
WanaMMU-JF..........habari za weekend?

Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa katika mahusiano na mapenzi kuna aina mbili za wanawake
1. Wale wenye kismat....yaani bahati flani kiasi kwamba akiwa kwenye mahusiano na mkaka basi huyo kaka mambo yake yanakuwa tambarare........
2. Wale ambao huwa wanakuwa kama wana nyota mbaya (wenyewe huita gundu???) ambao wakiwa kwenye uhusiano basi wenzi wao huwa na wakati mgumu sana kwani hakuna kinachofanikiwa be it kikazi, biashara yaani kimaisha kwa ujumla!!...

(Sasa sijui in yale ya Hayati Sheikh Yahya!)

So naomba msaada wa kujua yafuatayo
1. Je kuna ukweli wowote katika hili? na
2. Kama ni kweli, je na upande wa wanaume nao wapo wenye kismati na wasio nacho?

ni hayo tu, aksanteni
haya hayana sayansi lakini yana imani yake

ndio maana kuna yale ya mtoto si riziki, ndoa si riziki, kaamkia mguu wa kushoto nk

Binafsi naamini kabisa kuna mtu nikiwa nae, basi hupata bahati....

personal experience, i had one of the most beautifulgirls, some year ago, lakini everytime nikiwa nae nilikua napata mikosi, and hadi leo there are some people, including one friend of mine (female), ambaye kila nikiwa naye, everything turns to gold, kuanzia mkoloni hadi biashara zangu

i call her my lucky charm!!!

SO TO ME THIS IS TRUE!!!
 
Zaidi ya mara mbili mpenzi....heheheheh kungekua na njia ya kudetect kuna watu wangekimbiwa hata njia ingebidi wawe na yao..lolzz!!
Njia pekee ya kujua ni kwakua karibu na watu/mtu alafu uangalie maendeleo yako.Tho sidhani kama ''unaitega '' hiyo hali itatokea. Kuna watu yani uwepo wake unafanya hata mambo ambayo kiasili yalikua magumu sana kwako kuyakamilisha ghafla uwezekano unatokea...ubaya ni kwamba mtu kama huyu ukimuumiza akakulaani hata kwa maneno mambo yako yanaweza yakabadilika ghafla kama ilivyokua mwanzo!!
 
Hata mimi nasikia sana ila the core of it ndo huwa siilewi na ndiyo maana siyaamini kabisa. Kama kuna kitu nakichukia ni hayo mambo ya nyota na utabiri usio na nguzo ya kusimamia!
 
Kama vile......???
BAbu kwa mfano uchawi au haupo? Mi hata sijui lakini nadhani kuna mambo mengine ambayo hayana backup ya kisayansi but yapo. Hapa mnanikumbusha makitu ya positivism and Realism ah........mi shule ngumu sizitaki bana

Hebu semeni kuna wenye gundu au la?
 
Ki ukweli siamini kama uchawi upo!!

Kwa hiyo siamini kama kuna mwanamke au mwanamume mwenye gundu na kinyume chake....Sijawahi kupata tatizo lolote na ma-ex GFs wangu (ingawa namba ni ndogo sana ku-justify)!! Na sikuwahi kusikia wanalalamika kwa upande wangu!
 
Zaidi ya mara mbili mpenzi....heheheheh kungekua na njia ya kudetect kuna watu wangekimbiwa hata njia ingebidi wawe na yao..lolzz!!
Njia pekee ya kujua ni kwakua karibu na watu/mtu alafu uangalie maendeleo yako.Tho sidhani kama ''unaitega '' hiyo hali itatokea. Kuna watu yani uwepo wake unafanya hata mambo ambayo kiasili yalikua magumu sana kwako kuyakamilisha ghafla uwezekano unatokea...ubaya ni kwamba mtu kama huyu ukimuumiza akakulaani hata kwa maneno mambo yako yanaweza yakabadilika ghafla kama ilivyokua mwanzo!!

Umenikumbusha rafiki yangu mmoja Mlatin America yeye alikuwaga ananisimulia hili katika misingi ya dini ya Baha'i...........na hata mumewe aliyemuoa huyu dada alichaguliwa kwa hiyo imani. Ila wao walaikuwa wanatumia maneno kama......positive and negative energy.
 
Hapa ambacho huwa kinazungumziwa nadhani ni kile kwa Kiingereza kinachoitwa 'influence'. Kuna watu ambao ukiwa nao basi wataku-influence kichanya zaidi na wengine ambao wataku-influence kihasi zaidi.

Ukiwa karibu na mtu mwenye bidii, nidhamu, na juhudi ya utafutaji uwezekano wa wewe kuwa na hizo sifa bainishi (traits) ni mkubwa sana. Na ukiwa hivyo basi hata mafanikio utayaona. Lakini ukiwa na mtu asiye na hizo sifa bainishi halafu ndo uwe umetoka kwa mtu aliyekuwa nazo, basi sitashangaa ukijiona labda una mikosi.
 
Nadhani inawezekana kukawa na ukweli ndani yake japo hamna maelezo ya kisayansi kama ndugu yetu NN anavyotaka kufahamishwa.

Nimewahi kuambiwa mara kadhaa na sio lazima kwenye mapenzi....hata kwa marafiki hua inatokea!!:whistle:

very true
mimi naamini kabisa hilo lipo
na sio mkosi au bahati bali waswahili wanaita nyota kuendana..
unaweza kuwa mkosi kwa huyu ukawa bahati kwa mwingine
 
na kuna watu wana mikosi mno
ukitaka kuwa detect we tazama shughuli wanazofanya
mfano biashara,wanapata pesa sana but hawabadiliki
wanaonekama wako vile vile
 
Hapa ambacho huwa kinazungumziwa nadhani ni kile kwa Kiingereza kinachoitwa 'influence'. Kuna watu ambao ukiwa nao basi wataku-influence kichanya zaidi na wengine ambao wataku-influence kihasi zaidi.

Ukiwa karibu na mtu mwenye bidii, nidhamu, na juhudi ya utafutaji uwezekano wa wewe kuwa na hizo sifa bainishi (traits) ni mkubwa sana. Na ukiwa hivyo basi hata mafanikio utayaona. Lakini ukiwa na mtu asiye na hizo sifa bainishi halafu ndo uwe umetoka kwa mtu aliyekuwa nazo, basi sitashangaa ukijiona labda una mikosi.

You are really a Genius!!

Watu wanashindwa kuangalia mambo objectively wanatafuta upenyo rahisi wa kutokea. I second your idea/theory!!

Vilaza wakikutana ndo basi tena ila kilaza anaweza kuwa mtu smart na wa kutisha akikuta na mtu ambaye ni over smart kama ana nguvu kubwa ya ushawishi na kinyume chake ni sawa!!
 
mimi binafsi wanawake weupe huwa naweza sema wananiongezeaga bahati hivi lol
ingawa mimi hupenda wanawake weusi
 
WanaMMU-JF..........habari za weekend?

Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa katika mahusiano na mapenzi kuna aina mbili za wanawake
1. Wale wenye kismat....yaani bahati flani kiasi kwamba akiwa kwenye mahusiano na mkaka basi huyo kaka mambo yake yanakuwa tambarare........
2. Wale ambao huwa wanakuwa kama wana nyota mbaya (wenyewe huita gundu???) ambao wakiwa kwenye uhusiano basi wenzi wao huwa na wakati mgumu sana kwani hakuna kinachofanikiwa be it kikazi, biashara yaani kimaisha kwa ujumla!!...

(Sasa sijui in yale ya Hayati Sheikh Yahya!)

So naomba msaada wa kujua yafuatayo
1. Je kuna ukweli wowote katika hili? na
2. Kama ni kweli, je na upande wa wanaume nao wapo wenye kismati na wasio nacho?

ni hayo tu, aksanteni

...he heh he,...mambo ya unajimu na kutizamia nyota haya.
Binafsi siamini haya madubwana eti kismati, sijui kafunikwa kinyota bla bla...
Wengine hudiriki hata kusema, behind every successful man there is a woman of noble character.

Watu tumetofautiana. Wengine bila kusukumwa sukumwa hawaendi (Maslow Hierachy of Needs)
Kuna wengine wana speed kali kiasi hata wanasahau priority zao kwenye maisha ya ndoa.

Mbora ni yule awezaye ku balance maisha yake.
 
Ukweli uliopo ni pale mtu unapobadilisha mtindo wa maisha yako ili uendane na wa huyo mtu au hao watu (marafiki). Hii huweza kupelekea kupunguza umakini wako uliokuwa nao kabla ya kukutana na hao watu. Na matokeo yake badala ya kujiangalia mwenyewe na kufanya marekebisho unaishia kutafuta 'easy way out by blaming others especially if things have gone or are going awry'.

Nobody is blaming anybody.
Ynatokea hata kama hujawahi kushuhudia au hutaki kuamini jua wapo wenzio wanaoambukizwa bahati.

Naomba unitajie vile ambavyo havina maelezo ya kisayansi na utanisaidia sana kutoa uthibitisho wa kina jinsi ambavyo vimesaidia maendeleo ya binadamu toka enzi za zana za mawe!

DC

Babu...ohh sorry i mean Mzee DC ngoja nikutajie vichache tu alafu uniambie kwanini tunaviamini wakati havijathibitishwa kisayansi.
1.Laana toka kwa mzazi.Wengi wanawaogopa na kuwaheshimu wazazi wao/wakubwa wao kwa kuogopa kuachiwa laana.Inawezekana na wewe usiwe unaamini hili ..binafsi hua sijui nini cha kufikiria ila wapo watu ambao yamewakuta yasiyo kufuatia maneno ya kuonyesha hasira/unyonge toka kwa wazazi/wakubwa wao.

2.Jina/maneno kumjenga mtu/kumbomoa mtu....

3..........
 
haya hayana sayansi lakini yana imani yake

ndio maana kuna yale ya mtoto si riziki, ndoa si riziki, kaamkia mguu wa kushoto nk

Binafsi naamini kabisa kuna mtu nikiwa nae, basi hupata bahati....

personal experience, i had one of the most beautifulgirls, some year ago, lakini everytime nikiwa nae nilikua napata mikosi, and hadi leo there are some people, including one friend of mine (female), ambaye kila nikiwa naye, everything turns to gold, kuanzia mkoloni hadi biashara zangu

i call her my lucky charm!!!

SO TO ME THIS IS TRUE!!!

Mh Kamanda
Aksante kwa kunijuza kwa upande huu............ but ulishawahi kufanya comparison kati ya hizo two extreams? ya huyo aliyekuwa na 'mkosi' na your 'lucky charm' interms of .jinsi wanavyo/livyokuwa wanakushauri au kusupport au kukupa moyo katika jambo flani??
 
Kamanda!!
Hebu funguka basi nikusome kamanda?

Mie zamani nilishawahishutumiwa na mtu kuwa nimeyaharibu maisha yake nothing seems to be right like they used to be, psa imemkimbia na madili yanayeyukia mlangoni!! Sasa nimebaki najiuliza kama ni kweli!

duh.............. kuna mmoja (mbondei na mmachame, hata akipiga simu basi japo pancha nipate)... kuna mwingine huyo... nikimuona tu, basi hata fungu linabadilika

juzijuzi tu nimemuona bahati mbaya lakini nikapata simu ya ulaji wa kufa mtu

sina scientific explanation but when i see her, nafananisha na diamong
 
hebu nyinyi scientist mtutafsirie kwa nini watu huota ndoto
na wengine ndoto zao huwa kweli???????????
 
  • Thanks
Reactions: BAK
haya hayana sayansi lakini yana imani yake

ndio maana kuna yale ya mtoto si riziki, ndoa si riziki, kaamkia mguu wa kushoto nk

Binafsi naamini kabisa kuna mtu nikiwa nae, basi hupata bahati....

personal experience, i had one of the most beautifulgirls, some year ago, lakini everytime nikiwa nae nilikua napata mikosi, and hadi leo there are some people, including one friend of mine (female), ambaye kila nikiwa naye, everything turns to gold, kuanzia mkoloni hadi biashara zangu

i call her my lucky charm!!!

SO TO ME THIS IS TRUE!!!

is that ur lucky charm a member of jf????????
 
Back
Top Bottom