Naomba Mnijuze Tafadhali

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
WanaMMU-JF..........habari za weekend?

Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa katika mahusiano na mapenzi kuna aina mbili za wanawake
1. Wale wenye kismat....yaani bahati flani kiasi kwamba akiwa kwenye mahusiano na mkaka basi huyo kaka mambo yake yanakuwa tambarare........
2. Wale ambao huwa wanakuwa kama wana nyota mbaya (wenyewe huita gundu???) ambao wakiwa kwenye uhusiano basi wenzi wao huwa na wakati mgumu sana kwani hakuna kinachofanikiwa be it kikazi, biashara yaani kimaisha kwa ujumla!!...

(Sasa sijui in yale ya Hayati Sheikh Yahya!)

So naomba msaada wa kujua yafuatayo
1. Je kuna ukweli wowote katika hili? na
2. Kama ni kweli, je na upande wa wanaume nao wapo wenye kismati na wasio nacho?

ni hayo tu, aksanteni
 
Binafsi sidhani kama kuna ukweli wowote katika hayo. Ni mambo ya usasili tu. Labda aje mtu anivunjie kwa kinagaubaga tena kwa kutumia kanuni za kisayansi ndipo nitaamini kuwa ni kweli.
 
Umeniwahi hapo dadangu MJ1.

Ngoja wafuasi wake wakatupatie majibu..For me nadunda kwa sababu nature imeniweka hapa nilipo na si kwa sababu bibi ana nyota nzuri au mbaya!
 
Yaani umenena mkuu....Hebu sema, unakunywa kinywaji gani ili uwahi mchuma?
 
Mi pia siamini kawa wapo wanawake au wanaume wenya gundu au bahat mi ninachoamin kukosa kazi au kufanikiwa hakutokani na mwenzi uliyenaye bali juhudi na maangaiko jako.
 
Binafsi sidhani kama kuna ukweli wowote katika hayo. Ni mambo ya usasili tu. Labda aje mtu anivunjie kwa kinagaubaga tena kwa kutumia kanuni za kisayansi ndipo nitaamini kuwa ni kweli.
Aksante NN, kuna rafiki yangu alikuwa analalamika kuwa tangu ame,pata huyo wifi mpya yaani pesa imekuwa ngumu sana yaanio dili zote zimeota mbawa.............hali si kama zamani alipokuwa na EX wake na alikuwa anajustify haya kwa tafsiri hii.

Pamoja na yeye nilishasikia the same mara nyingi tu....ssa hata mie connection siioni. Ndo nikasema pengine kule kwenye kisima cha maarifa nipata jibu
 
Umeniwahi hapo dadangu MJ1.

Ngoja wafuasi wake wakatupatie majibu..For me nadunda kwa sababu nature imeniweka hapa nilipo na si kwa sababu bibi ana nyota nzuri au mbaya!

Aksante Babu kwa kunijuza. Kusema ukweli nilikuwa ninalo siku nyingi kiasi kwamba nikawa natamani kweli kujijua niko kundi gani.........karibu niaze kuwauliza MaExes na Macurrents kama nina gundu au kismet.......lol
 
Aksante NN, kuna rafiki yangu alikuwa analalamika kuwa tangu ame,pata huyo wifi mpya yaani pesa imekuwa ngumu sana yaanio dili zote zimeota mbawa.............hali si kama zamani alipokuwa na EX wake na alikuwa anajustify haya kwa tafsiri hii.

Pamoja na yeye nilishasikia the same mara nyingi tu....ssa hata mie connection siioni. Ndo nikasema pengine kule kwenye kisima cha maarifa nipata jibu

Huyo rafiki yako ni mission town, i.e. anaishi maisha dizaini ya bongo darisalaam? Kama ni hayo basi mwambie hata akibalisha wanawake kama underware atabaki kuishi maisha ya kutanga tanga kama ndege wa kuhama hama (migrating birds)!
 
Aksante NN, kuna rafiki yangu alikuwa analalamika kuwa tangu ame,pata huyo wifi mpya yaani pesa imekuwa ngumu sana yaanio dili zote zimeota mbawa.............hali si kama zamani alipokuwa na EX wake na alikuwa anajustify haya kwa tafsiri hii.

Pamoja na yeye nilishasikia the same mara nyingi tu....ssa hata mie connection siioni. Ndo nikasema pengine kule kwenye kisima cha maarifa nipata jibu

Huyo rafiki ajiangalie. Ajichunguze maana huenda baada ya kumpata huyo "wifi" yako mpya amekuwa mzembe wa kuzisaka hela. Hii hutokea sana hasa pale ambapo huyo mtu wako mpya anapokubadilisha (iwe kwa hiari au lazima) mtindo wako wa kimaisha,
 
Aksante Babu kwa kunijuza. Kusema ukweli nilikuwa ninalo siku nyingi kiasi kwamba nikawa natamani kweli kujijua niko kundi gani.........karibu niaze kuwauliza MaExes na Macurrents kama nina gundu au kismet.......lol

Wala usikae ukawauliza hata siku moja,

Wewe wasisitize wakafanye kazi kwa juhudi, bidii na maarifa. Ikishindikana hapo ndo mnaweza kumfikiria Shekh Y. H (RIP)!
 
Nadhani inawezekana kukawa na ukweli ndani yake japo hamna maelezo ya kisayansi kama ndugu yetu NN anavyotaka kufahamishwa.

Nimewahi kuambiwa mara kadhaa na sio lazima kwenye mapenzi....hata kwa marafiki hua inatokea!!:whistle:

Lizzy,

Kama hakuna maelezo ya kisayasa basi hilo jambo halipo!
 
Mimi pia siamini sana kwenye bahati na mikosi. Mafanikio ni kuchapa kazi na kuwa determined. Labda kuna baadhi ya wanaume wanahitaji kuwa pushed ili waweze kuwa wachakarikaji. Na wanajikuta wanapenda wanawake ambao hawana mchango wa mawazo ya jinsi ya kutafuta, bali wana michango ya mawazo ya jinsi ya kutumia, sasa na wao kama ndio wa kususkumwa basi wanaishia kukosa mafanikio.
 
Nadhani inawezekana kukawa na ukweli ndani yake japo hamna maelezo ya kisayansi kama ndugu yetu NN anavyotaka kufahamishwa.

Nimewahi kuambiwa mara kadhaa na sio lazima kwenye mapenzi....hata kwa marafiki hua inatokea!!:whistle:
Babygal.......nawe ulishasikia eh?? Yaani mie hadi nikawa nawaza kama ni kweli je hakuna njia ya kuweza kudetect mapema ili umpate mwenye kismet tu?
 
Nadhani inawezekana kukawa na ukweli ndani yake japo hamna maelezo ya kisayansi kama ndugu yetu NN anavyotaka kufahamishwa.

Nimewahi kuambiwa mara kadhaa na sio lazima kwenye mapenzi....hata kwa marafiki hua inatokea!!:whistle:

Ukweli uliopo ni pale mtu unapobadilisha mtindo wa maisha yako ili uendane na wa huyo mtu au hao watu (marafiki). Hii huweza kupelekea kupunguza umakini wako uliokuwa nao kabla ya kukutana na hao watu. Na matokeo yake badala ya kujiangalia mwenyewe na kufanya marekebisho unaishia kutafuta 'easy way out by blaming others especially if things have gone or are going awry'.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
kamanda

i want to say siamini... lakini nimetrack back 12 years, basi naamini

and i can witness this anywhere......... no sheikh yahya though, just coincidence basi!!

Kamanda!!
Hebu funguka basi nikusome kamanda?

Mie zamani nilishawahishutumiwa na mtu kuwa nimeyaharibu maisha yake nothing seems to be right like they used to be, psa imemkimbia na madili yanayeyukia mlangoni!! Sasa nimebaki najiuliza kama ni kweli!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom