Naomba mnijulishe hili wana UDOM

Ulamaa Hemed

Senior Member
Sep 21, 2012
159
16
Mwisho kulipa Ada ni Sep 30,je ikiwa nitalipa baada ya hapo itakuwaje?. Na VP ikiwa Ada yangu niliolipa haijafika hata nusu je chuo kitanipokea au hadi nilipe japo nusu?
 
Back
Top Bottom