fabinyo
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 2,991
- 2,109
Wasalaam wadau,najua jamvini humu kuna wataalamu wa kila jambo!kwa leo naomba kufahamu kwa kina juu ya engine za magari zenye teknolojia tajwa hapo juu,uzuri na ubaya wake na kama mafundi wetu(tz) wanaweza ku-deal nazo pindi inapopata shida!pia,ni kweli zinasaidia utumiaji wamafuta kuwa kidogo?nimejaribu ku-google ila kithungu hakipandi kabisa,asanteni!