naomba mnielekeze step by step namna ya kuitumia bitTorrent au movie torrent

Ford89

Senior Member
Jul 31, 2011
128
15
naomba mnielekeze step by step namna ya kuitumia bitTorrent au movie torrent...zote nimeshazidownload pamoja na java ila ndo hivyo nashindwa uzitumia
 
Hebu pitiapitia post za nyuma, lilisha ongelewa hili suala
 
baada ya kuidownload i install..then nenda kwenye site za torrents (mf: Download Kickasstor Torrents - KickassTorrents) kisha search unachotaka ku download ukikipata download then fungua ulichodownload (ni ki file flani hivi kidogo tu) ukikifungua tu chenyewe kitafunguka kwa kutumia hiyo bit Torrent we bonyeza ok kisha hiyo bit torrent yenyewe itaanza kudownload!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom