Naomba mchango wenu katika hili

Danp36

JF-Expert Member
Jul 31, 2010
2,097
920
Mi napenda sana kuokoka katika makanisa ya siku hizi yani yakiroho lakini cjajuatmpaka leo niende kwa yupi naona kilammoja anafundisha mafundisho yaliyo nje ya mandiko ya biblia .naomba mniambiye kanuni za kufutata mpaka niitwe mkristo wa mungu .mana siomi kwenye biblia sehemu walipoongozwa sala ya toba watu na pale walipo ambiwa sema futa jina langu kwenye kitabu cha ukumu na andika kwenye kitabu chauzima bali mungu kasema nilikujua tangu misingi ya ulimwengu walio wake .je hi ya kuombea sala ya toba ni wapi imeandikwa mana mungu alisema atakaye ongeza au kupunguza mandiko yake atahukumiwa kwa kosa hilo naomba nieleweshwe hapo namipia ni mlokole ila cjaongozwa sala ya toba.kwa walokole.
 
Nenda kwenye mihadhara ya kiislam na "biblia ni jibu"..watakusaidia...hapa jamii forum tupo kufikiria mambo ya kidunia sio masuala yako ya "kiroho" kama hayo..jf home of great thinkers..(in non religious mattars only)
 
Mi napenda sana kuokoka katika makanisa ya siku hizi yani yakiroho lakini cjajuatmpaka leo niende kwa yupi naona kilammoja anafundisha mafundisho yaliyo nje ya mandiko ya biblia .naomba mniambiye kanuni za kufutata mpaka niitwe mkristo wa mungu .mana siomi kwenye biblia sehemu walipoongozwa sala ya toba watu na pale walipo ambiwa sema futa jina langu kwenye kitabu cha ukumu na andika kwenye kitabu chauzima bali mungu kasema nilikujua tangu misingi ya ulimwengu walio wake .je hi ya kuombea sala ya toba ni wapi imeandikwa mana mungu alisema atakaye ongeza au kupunguza mandiko yake atahukumiwa kwa kosa hilo naomba nieleweshwe hapo namipia ni mlokole ila cjaongozwa sala ya toba.kwa walokole.

Ndugu yangu japo matumizi yako ya nukta, mikato na herufi kubwa yamenipa tabu kidogo, nimekuelewa. Unadai walokole wote wanafundisha yaliyo nje ya biblia. Cha kufanya ni rahisi kwa vile umekwishajiridhisha na utafiti wako. Usiwafuate hao walokole. Aidha anzisha dini yako ya kilokole itakayohubiri uonavyo vema, au jiunge na kanisa lisilo la kilokole, kwani hao hujawalalamikia.
 
Mkuu, mwisho utakuja kuhoji wapi wachungaji wameruhusiwa kunya, wakati hakuna sehemu yeyote kwenye biblia imeandikwa wafuasi walikunya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom