naomba mbinu za kuishi bila boyfriend

Kata shauri na uokoke kwa yesu kuna raha
Utapata mme na sio Boyfriend wa kukuumiza pale utakapoamua na kuomba katika kweli
 
Simple mwanamke ambaya anajiheshimu na anajithamini, hawezi kuwa na ma boi friend anakuwa na mme.

Usikimbilia ma boi friend ngojea mme ajitokeze akuowe.
 
naomba wana jf mnisaidie njia ambazo zitanisaidia niishi peke yangu bila boyfriend coz kila nikiwa kwenye relation naishia kuumizwa.

Bagamoyo kuna wataalamu wataibadili sura na kuwa ka dume.... usumbufu wote kwishnei!!! Jipange uende!!!
 
Mapenzi ya sasaivi ni kuwa muongo muongo!
Say what you don't mean and do what you don't say..
Ishi kama wanaume wa sasa wanavyopenda..hope hutaumizwa tena!

loooh! pamoja na kukupa like but nimeipenda comment yako, its true, the other easiest way not to be hurt and life goes on.....''Think like a man, act like a lady'' ever seen this movie? its nice aiseee, i like it.
 
loooh! pamoja na kukupa like but nimeipenda comment yako, its true, the other easiest way not to be hurt and life goes on.....''Think like a man, act like a lady'' ever seen this movie? its nice aiseee, i like it.
Good!nimejifunza kitu hapa!
 
dada jisachi tabia yako ujue ni kwanini unaumizwa wewe labda huwa una madhaifu ambayo hao maboyfrnds zako wanashindwa kuyavumilia au huwa unaambiwa ujirekebishe na hufanyi hivyo, ndio maana unaishia kuumizwa...iscan tabia yako na mienendo yako ili ujue ni wapi huwa unakosea ili ufanyie kazi...kama unajiona uko ok huna problem yeyote ni wenyewe ndio wana matatizo basi ni kumshukuru Mungu kwani likuepukalo lina kheri na wewe, na kwamba safari yako ya kusaka mume labda haijaisha bado.....so kwa sasa Jikabidhi kwa Mungu wako akufanyie wepesi katika maisha yako ya mapenzi ili mwisho wa siku upate mume wa ndoto zako. Pole sana!
 
tafuta galfriend unanihii nae kama boyfriend wanakuumiza..........and dnt try those ****n dildos coz they 1.dildo zinanyumbulua hiyo p**sy inakuwa na shepu mbaya sana 2.aint real 3. bila umeme hakuna kitu 4. remember "if aint real then aint worth it" 4 . come to me mamaa sitakuumiza
 
sex toys is the only answer...haikuumizi kichwa,moyo wala roho...iko pale anytime u want it na inakuridhisha
 
Angalia sababu ya kuumizwa , usiwe ukawa wewe ndio tatizo.

Sijui kama unaweza kuishinda ASILI
 
Mmmhh.............kiukweli sidhani kama kuna mbinu iliyo sahihi kuishi bila huyo........ chamsingi hapa ni wewe kutafuta kwanini inakuwa hivyo??? Pingingine wewe ndio source...Poleeeeeeeeeeeeeeeee......
 
Back
Top Bottom