naomba mbinu za kuishi bila boyfriend

Hakuna njia za kukusaidia kuishi peke yako we mdada, hakuna cha kujikeep busy wala nini. Hayo ni masuala ya moyo mamaa na hayatabiriki. Ishi kila siku jinsi inavyokuja na deal with it. Kama suala limefikia hatua ya kujizuia ni kwanini ujizuie? Kuumizwa tu? Kwanini usitafute njia ya kukabiliana na kuumizwa badala ya kutafuta njia za kuminya matakwa ya moyo wako....
 
tafuta namna ya kujiweka busy...na jaribu kuintarakt na watu wengi zaidi kuliko mtu mmoja.
 
Hakuna njia za kukusaidia kuishi peke yako we mdada, hakuna cha kujikeep busy wala nini. Hayo ni masuala ya moyo mamaa na hayatabiriki. Ishi kila siku jinsi inavyokuja na deal with it. Kama suala limefikia hatua ya kujizuia ni kwanini ujizuie? Kuumizwa tu? Kwanini usitafute njia ya kukabiliana na kuumizwa badala ya kutafuta njia za kuminya matakwa ya moyo wako....

thanx i understand
 
Pole sana LUNA,

Nenda hospitali yoyote iliyo karibu nawe umwombe Dactor wa upasuaji akufanyie castration!!

Nakuhakikishia hutatamanika kwa mwanamume yeyote na wala hakuna atakayekusumbua......You will be safe forever!!

Babu DC!!!
 
Last edited by a moderator:
naomba wana jf mnisaidie njia ambazo zitanisaidia niishi peke yangu bila boyfriend coz kila nikiwa kwenye relation naishia kuumizwa.

ina bidi ukae chini ujiulize wat is it abt u that keeps attracting heart breakers....ukitaka kaa bila bf mbona rahisi tuu...tafuta sexmate...unapata physicall healing bila stress
 
Can you tell the fish not to swim? Think about it LUNA!
LUNA mdogo wangu rudisha mawazo yako yawe kwenye hali ya kawaida kabisa halafu uanze upya. Hakuna maisha bila mapenzi hii ndiyo natur yetu. Tafuta mpenzi siyo mshikaji. Mara nyingi matatizo ya wanawake hutokana na nyie wenyewe. Jiangalie udhaifu wako then jirekebishe.
 
naomba wana jf mnisaidie njia ambazo zitanisaidia niishi peke yangu bila boyfriend coz kila nikiwa kwenye relation naishia kuumizwa.

Kuwa mchamungu, kumbuka siku ya kufa na tambua lengo la kuumbwa mwanamme na mwanamke then badala ya kuishi na boyfriend amua kuolewa.
 
Hakuna njia za kukusaidia kuishi peke yako we mdada, hakuna cha kujikeep busy wala nini. Hayo ni masuala ya moyo mamaa na hayatabiriki. Ishi kila siku jinsi inavyokuja na deal with it. Kama suala limefikia hatua ya kujizuia ni kwanini ujizuie? Kuumizwa tu? Kwanini usitafute njia ya kukabiliana na kuumizwa badala ya kutafuta njia za kuminya matakwa ya moyo wako....

eliza ningekuwa enzi zako ningekutupia nyavu
 
Nunua sex vibrator hiyo ni zaidi ya mwanaume coz.1. Haitoki nje ya ndoa 2.Haishiwi nguvu za kiume 3.Kufikishwa kileleni ni lazima 4.Hailingi coz ukiitaka unaitoa tu na kuanza shughuli mara moja 4.Haitukani na haina dharau coz haina mdomo aisee ina sifa nyingi mno ikiwemo Haimbukizi STDs includes UKIMWI.
 
Back
Top Bottom