Naomba mawazo yenu

pole sana, kuishi kwingi ni kuona ........., hutakuja tena kutuomba ushauri wa kumuacha Mpoland

Toba Illahi...hebu usimwombee mwenzako hayo.... Mpoland to death...achana na huyo kicheche.. Ed wala yasikupotezee usingizi haya!!! we mwachie Klorokwin hii kazi ataimaliza chap chap....LOL
 
mpwa kwani uongo?

Lol! Sore mpwa nilifikiri uko offline! Dah! Leo huchezi mbali! yaa! Dawa ya malaria anapaswa kujua kuwa mamaa la carmel ni muke ya mutu. Ndani ya strong and successiful marriage! Gonga senksi mamaa la carmel kama bado uko on line.
 
eeh asije akapata mradhi ya moyo ati!!! sasa Iribini hataki nini hapo??

FYI papaa la carmel ni besti frendi wangu! Nimekataa nini? Nilitaka kujua tu kama ulikuwa matron wake.
 
Lol! Sore mpwa nilifikiri uko offline! Dah! Leo huchezi mbali! yaa! Dawa ya malaria anapaswa kujua kuwa mamaa la carmel ni muke ya mutu. Ndani ya strong and successiful marriage! Gonga senksi mamaa la carmel kama bado uko on line.
nimekugongea senks binamu. leo nacheza mitaa ya karibu karibu. ha haaaaaa, xpin mbona humpi edson ushauri? hakyanani kuna mambo Mungu huwa anaepushia mbali, mtu kama edson alitakiwa kuwa kaka yangu, yani ningemfungia safari, nikampakia nguo zake na kumpa nauli na kumsindikiza stand ya mabasi taraaratibu bila wazazi kupewa chance ya kusema chochote.
 
yaani umeiweka vyema, hapo wazazi wanakuwa 'obsevaz' tu hakuna zaidi ya hapo!!!!
 
nimekugongea senks binamu. leo nacheza mitaa ya karibu karibu. ha haaaaaa, xpin mbona humpi edson ushauri? hakyanani kuna mambo Mungu huwa anaepushia mbali, mtu kama edson alitakiwa kuwa kaka yangu, yani ningemfungia safari, nikampakia nguo zake na kumpa nauli na kumsindikiza stand ya mabasi taraaratibu bila wazazi kupewa chance ya kusema chochote.

Mi ningekuwa Edson kuna jambo moja tu ningekuwa linanisumbua kichwa kwa sasa: Kushughulikia kesi ya shambulio kali la mwilini lenye dhamirio la mauaji mahakama kuu! Edson stop crying homeboy. Go and kick her a.ss!
 
Lol! Sore mpwa nilifikiri uko offline! Dah! Leo huchezi mbali! yaa! Dawa ya malaria anapaswa kujua kuwa mamaa la carmel ni muke ya mutu. Ndani ya strong and successiful marriage! Gonga senksi mamaa la carmel kama bado uko on line.
haka kaposti kamemfanya waif to bii anirikomendi kubakia jf wizauti any tatizo. sjui nimekugongea senksi? hebu cheki unijulishe bifoo kabla ya kulogi auti. lakini haka ka avatar ka carmel ni kachokozi ka mapigo ya moyo.
 
Mi ningekuwa Edson kuna jambo moja tu ningekuwa linanisumbua kichwa kwa sasa: Kushughulikia kesi ya shambulio kali la mwilini lenye dhamirio la mauaji mahakama kuu! Edson stop crying homeboy. Go and kick her a.ss!

mh, wewe nawe, unampigaje mtu huna interest nae? ni kuwaambia wazazi tu wamtimue basi
 
siwezi kurudiana nae hata iweje.
aliyofanya yanatosha
tayri nina familia.

kikubwa nataka nimuondoe pale nyumbani kwetu basi hakuna zaidi ya hapo.

Kumuondoa hom kwenu, waite wazazi wake, mkae wote na wazazi wako. kisha weka mambo wazi kwamba pamoja na maumivu yote alokusababisha, na risk zote alokutia, ww umeshatuliza moyo, na umemsamehe kwa moyo mweupe, na mungu amekubarikia ndoa yenye furaha, hivyo hauna kinyongo naye, na kama wewe umeweza kumsamehe, na yeye akusamehe, asahau ATAPATA TU AMANI YA ROHO KAMA AKISAMEHE NA KUKUACHIA AMANI! Waombe wazzazi wake waondoke naye, komaa tu kwa sababu inaonekana yeye anaufahamu udhaifu wako......(ww ni ngosha? wasukuma wakarimu sana). POLE SANA, MUNGU ATAEPUSHIA MBALI
 
pole sana mkuu na hongera kwa kumudu maisha na kufanikiwa licha ya huo mtihani.

niseme moja kwa moja kuwa huyo dada hana laana! hakuna itu kama laana hapa duniani, ana matatizo ya kisaikolojia tu, tiba yake ni ushauri nasaha, basi

ningekuwa bongo ningekusaidia kama ningeweza kukutana na huyo dada kwani angeondoka tu hapo kwenu kwa furaha na angeendelea kuwa rafiki wa kawaida wa familia yenu kwa maisha yake yote. angewaunganisha familia zenu zingekuwa kitu imoja na hata angeichukulia familia yenu kama yake nawe ungekuwa na amani na mkeo kama sasa au hata zaidi

angekuwa na furaha zaidi siku zake za mwisho kuliko za mwanzo.
 
haka kaposti kamemfanya waif to bii anirikomendi kubakia jf wizauti any tatizo. sjui nimekugongea senksi? hebu cheki unijulishe bifoo kabla ya kulogi auti. lakini haka ka avatar ka carmel ni kachokozi ka mapigo ya moyo.

Hehehe! LOL! Nimeiona senksi binamu. Ila mamaa la carmel nlishamwambiaga hako kaavatar katawasumbua sana wakware. Mpaka jana alinambia alishapata PMs 208! Vipi nawe ulishatest zali?
 
pole sana mkuu na hongera kwa kumudu maisha na kufanikiwa licha ya huo mtihani.

niseme moja kwa moja kuwa huyo dada hana laana! hakuna itu kama laana hapa duniani, ana matatizo ya kisaikolojia tu, tiba yake ni ushauri nasaha, basi

ningekuwa bongo ningekusaidia kama ningeweza kukutana na huyo dada kwani angeondoka tu hapo kwenu kwa furaha na angeendelea kuwa rafiki wa kawaida wa familia yenu kwa maisha yake yote. angewaunganisha familia zenu zingekuwa kitu imoja na hata angeichukulia familia yenu kama yake nawe ungekuwa na amani na mkeo kama sasa au hata zaidi

angekuwa na furaha zaidi siku zake za mwisho kuliko za mwanzo.

hivi anagaza case kama hii wanaweza kumshauri pia au?
 
Nkoi nsezaye,unkema huyu hakufai kabisa hapo hakuna hata cha kujiuliza mara mbilimbili ulishaoa sasa unahangaika na X girl friend wa nini Neyo nchaga.Angalia mbele na mwambie aondoke nyumbani haraka sana kabla mimi sijatia timu kumfulumusha.Alikutenda na sasa bado anakufuata fuata ohooo akwende kule.Neyo nakolagwa sana yaya ukugegela gete mana ukungegela nyanda ukutula nsongo;ulihaya akutule nsongo?Pejaga gete neyo aondoke i dakika yeneye nalandika
 
hivi anagaza case kama hii wanaweza kumshauri pia au?

hii si kesi ya angaza. angaza wana mambo ya ushauri nasaha unaohusisha upimaji wa vvu. fani ya ushauri nasaha ni pana sana, si kwa ajili ya waathirika wa vvu pekee, bali waathirika wa matatizo mbalimbali ya maisha , hili likiwemo. mimi wala sifanyi kazi angaza, ni mshauri nasaha wa kujitegemea, ila kwa sasa naishi nje ya nchi
 
kuna mdogo wangu nae amenipa ushauri kama huu kuwa nimtwagie baba simu then nimwambie wamuondoe hapo. dada yangu wa pekee edina yuko masomoni. kwanza hata mimi sitaki kuonana nae
nipe namba ya huyo dada mimi ni dada yako hata kama si edina,nimwambie aondoe vigimbi vyake hapo nyumbani,halafu inaelekea wewe Edson ulikuwa unamuintateini ndo maana kadiriki hata kwenda nyumbani kwenu.
 
Hehehe! LOL! Nimeiona senksi binamu. Ila mamaa la carmel nlishamwambiaga hako kaavatar katawasumbua sana wakware. Mpaka jana alinambia alishapata PMs 208! Vipi nawe ulishatest zali?
deh deh deh! niko mwangalifu kwa kisayansi tunasema keyafuli, longi taim niliwahi kumtumia binti e mail kumbe na bwana wake ana paswedi . unaweza hii stori ukaimalizia wewe nini kiliendelea............ usisahau kuandika "the end " mwisho wa mchezo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom