naomba mawazo yenu

hahaa! :) umenichekesha. sasa mbona hunipi mawaitha? i think haya mambo ya kumess up kwenye relationship yanatokea...sio mimi tu ambaye nimewahi kuchemsha. i would like to know how people deal with such balaas.

Mtindiowaubongo hakuchekeshi, ila wewe ndio unachekesha na kuhuzunisha to the maximum. people do blunders lakini sio za kupanga kama za kwako. uku ndani nimeona ushauri wa maana sana, uchukue na uufanyie kazi
 
Hii ya huyu dada ni kali sana,two men at the same time,unachekesha mwanamke mwenzetu,hivi hizi ni zama za kuwa na watu wawili kwa wakati mmoja?Na magonjwa yote yaliyozagaa,wewe hujawaambukiza kweli wakaka wa watu magonjwa?
Tabia yako kwa ujumla sio nzuri,hebu jaribu kujichunguza yawezekana kuna kitu kinakusumbua.Na pia jiulize hivi hayo unayowafanyia hao wakaka ungefanyiwa wewe ungejisikiaje?Usilotaka kufanyiwa usifanyie wenzako.

Ushauri wangu kwako ni huu,hebu kaa tafakari kwa kina ni kweli una mpango wa kuja kuwa mama siku moja?Na je kama una mpango wa kuwa mama tabia ulizonazo za kuwapanga wanaume wawili kwa wakati mmoja ukiingia kwenye ndoa unaweza kuziacha?

Hivi na aliekutuma kwenda kumwambia huyu mwanaume mwingine kuwa umevunja uchumba ni nani?Ulifikiri atakusifia au?Kwa taarifa yako amekuona wewe ni kituko haswa,na pia umeiweka wazi tabia yako mbaya kwake,

Kaa jichunguze usikurupuke kutaka uhusiano mwingine wakati uliokua nao umeshindwa kuu-handle.

Take care!!
 
Anahitaji msaada wa kisaikolojia hayo yote uliyo mshauri hawezi kuyapatia majibu, wana JF ambao ni Psychologist mpeni msaada jn.
 
Mawazo yangu mdogo wangu, achana na wote 2, endelea na maisha yako. Utapata mwingine. Sababu, Ukisha kuwa na mwanamme , halafu ukaweza kuwa na mwanamme mwingine, basi jua humpendi vile. Mambo ya ndoa na yeyote yule kati yao futa kabisa, jipe mda.
 
Ukirudiana na yoyote kati ya hao wawili , watakuwa wanakuchezea tuu, hakuna atakaye kuchukulia serious tena.
 
Ningekuwa mimi wewe, ningewaacha wote.Najua ni vigumu lakini hakuna jinsi.Umeshajichanganya sana na hata wao watakuwa na mchanganyiko huo wa kimawazo.Hata ukiwa na mmojawapo hamtakuwa na raha au amani maishani maana kuna rejea kadhaa tayari.
Jikaze, waache wote... move on utapata mwingine wa kukufaa zaidi.
 
jn,

Ngoja nikuue kabisa. Kimsingi una matatizo makubwa na unatakiwa ukae kwanza ujichunguze ili uamue wewe ni nani na unataka kuwa nani! Kwa hiyo description uliyotoa hapo juu, hakuna jema la kukudanganya. You are a SLUT. Samahani huwa kuna maneno nafikiria sana kabla ya kuyatumia. Hata hivyo nimeamua kulitumia.

Inaonekana kinachokuvutia huku na huku si mapenzi (Wengi huwa tunasingizia mapenzi when we have other motives). Hata hao wanaume hakuna anayekupenda, kama hilo neno wanalijua. Ukitaka kujua kuwa hapo hakuna mapenzi endelea na ndoa kati ya mmoja wa hao wapenzi. Utagundua kuwa wote pengine wanapenda your hot body, ila baadaye utagundua wote hawakuamini. Hiyo ndoa itakuwa si ndoa.

Think again. Jaribu kufikiria ni nini unachotaka; kuwa SLUT?? endelea kuwa kinyonga. Utapata hata wanaume kumi na wote watakupenda, ila wote hawatakuoa. Unataka kuwa mtu unayejiheshimu na unataka kuheshimiwa? Achana na hao wanaume wote wawili, wote wanafurahia kujirusha na wewe. When it comes to marriege; inaelekea hata huyo aliyekuwa amekuchumbia did not know anachumbia nini.

Kwa hiyo? Nakushauri uache tabia mbaya. Uwe na msimamo. Chagua moja. Lifanye kwa uhakika utafanikiwa. Yes even sluts succeed!!
 
wewe ni kicheche aka changudoa....ukimwi hauwezi kuisha kwa watu wa type yako duniani....unafaa kuchapwa viboko makalio matupu..

...mods pls mpeni server ban huyu asiendeze sumu yake kwa wana JF.....
 
Punguza hasira kaka, jn ameomba ushauri tu. Wewe unadhani kuna wangapi wanaofanya kama jn au hata zaidi ya jn hapa duniani? Punguza mnkari...
 
....duhhh! ...Iniesta acha unoko!
 
Punguza hasira kaka, jn ameomba ushauri tu. Wewe unadhani kuna wangapi wanaofanya kama jn au hata zaidi ya jn hapa duniani? Punguza mnkari...
kama ulikuwa hujui definination ya kicheche ndio hii......Ukimwi hautapungua nyie mdanganyane na maushauri yenu..

....mshaurini akapime ukimwi kwanza alafu atulize kitenesi hicho na ajue hakuna mwanaume atakampata kwa tabia hii...kaniudhi sana....
 
Thank you Joyceline. Mimi nimeona itabidi niende mwenyewe kuomba msamaha. na nitaanza kwa familia yake alafu niende kwake. ngoja nivutevute muda; manake im scared. sio siri...
hahaa! :) umenichekesha. sasa mbona hunipi mawaitha? i think haya mambo ya kumess up kwenye relationship yanatokea...sio mimi tu ambaye nimewahi kuchemsha. i would like to know how people deal with such balaas.
yeah.. maybe your right. although i doubt it. im just confused.
utanisaidiaje? nakusikiliza.
wana JamiiForum wenzangu... mimi nina matatizo gani? nimrudie mpenzi wangu sasa hivi au ningoje kidogo hasira yake kwangu ipungue? na huyu jamaa mwingine, nikae kimya mpaka yeye aje kwangu? au nimwambie what is his plan na mimi? au mimi i am not fit to be with anyone?

...jn, huna tatizo lolote. unaonekana ni katika wale wachache wanaofanya maamuzi yao kufuatana na basic instincts (sixth sense.)

Ninalokushauri kwa sasa, BACK OFF!!! usijiingize kwenye serious relationship yeyote.

Jipe angalau (minimal) miezi sita ya 'kujitambua' wewe binafsi jn unataka nini kwenye relationship yako.
 
Duh...kumbe mko wengi...eeeh! na mwenzio alinifanyia hivyo.....kaachane naye.....later kaja anahema kweli....nilitamani nimaccomodate but couldn't coz nishaenda kwenye ''back up'' na mbaya zaidi nsha zaa naye! Till leo ana lia lia tu....wakati ndiye alinimwaga.......!

So bibie get someone very close kwa huyo mshkaji ampe somo haraka sana kabla hajaharibu...kule kny back up yake, then mkutane umwombe samahani.....akikubali......ujitahidi sana kny uhusiano wenu utulie coz ukichemsha tu atakumbuka wht you did before!

BWT......Na nyie lakini mnazidi....kha, why can't you forecast this?
...may be I should develop a model for them, in future they can simply simulate different scenarios, bcoz it's difficult for them and there are too many cases around.
 
jn,

Ngoja nikuue kabisa. Kimsingi una matatizo makubwa na unatakiwa ukae kwanza ujichunguze ili uamue wewe ni nani na unataka kuwa nani! Kwa hiyo description uliyotoa hapo juu, hakuna jema la kukudanganya. You are a SLUT. Samahani huwa kuna maneno nafikiria sana kabla ya kuyatumia. Hata hivyo nimeamua kulitumia.
kama ulikuwa hujui definination ya kicheche ndio hii......Ukimwi hautapungua nyie mdanganyane na maushauri yenu..

...taratibuni basi,... Ukweli unauma lakini kumkejeli, matusi na vitisho havimsaidii huyu mwenzetu aliye njia panda!

....mshaurini akapime ukimwi kwanza alafu atulize kitenesi hicho na ajue hakuna mwanaume atakampata kwa tabia hii...kaniudhi sana....

...basi kaka, tupe side yako ya story hii basi. Huenda wanajamii wakaweza lifichua lililojificha na wewe kupata ufahamu kilichoharibika, hasira hasara.
 
Kaka vipi ulishatendwa kihivi nini?
 
...taratibuni basi,... Ukweli unauma lakini kumkejeli, matusi na vitisho havimsaidii huyu mwenzetu aliye njia panda!

...basi kaka, tupe side yako ya story hii basi. Huenda wanajamii wakaweza lifichua lililojificha na wewe kupata ufahamu kilichoharibika, hasira hasara.

Mmmmmmh......Mbu! ni weweeeee au......naona hapa busara ''BANDA''!

BWT......Masanilo, Fidel et al....mbona sijawasikia hapa leo?
 
...taratibuni basi,... Ukweli unauma lakini kumkejeli, matusi na vitisho havimsaidii huyu mwenzetu aliye njia panda!

...basi kaka, tupe side yako ya story hii basi. Huenda wanajamii wakaweza lifichua lililojificha na wewe kupata ufahamu kilichoharibika, hasira hasara.
hili ndilo tatizo kubwa la watz.....ukiwaambia ukweli wanakuambia una wivu,unatoa kejeli,umeshatendwa bla bla raah arh....

....Ni hivi nimemshauri akapime ukimwi kwanza kwa tabia alioonyesha ni kinyume na maadili ya kitanzania na imani zetu......

....kumwambia akae miezi 6 bila reletion ship ni kuendelea kupoteza jamii.....atapata wengine na atawafanyia kama alivyofanya.....mtu mwenye dini huwezi kuvunja uchumba dakika za mwisho kama alivyofanya.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom