Naomba maoni yenu wanajamvi kwa maswali haya?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Je kuna mamluki Chadema?Je CCM kwa kuwa imechafuka inapambana kupandikiza mamluki Chadema ili isifurukute 2015?Kwanini CCM inazusha uongo wowote kwa Chama tishio na wananchi wanaitikia?Mfano CUF ilizushiwa kuagiza visu na iliitwa Chama cha kidini.Chadema iliitwa chama cha wachagga sasa kinaitwa chama cha wakatoliki.Kwani Chadema haiwezi kuwa na mtandao wa kudhibiti hujuma hizo na kupandikiza mamluki wao CCM?
 
siku zote mchawi mpe mtoto amlee.
chadema inasonga mbele.
wao wana fitina,uchawi,rushwa na wizi.
sisi tu mungu.
peoplesssssssssssssss......................
kamata mwizi meeeeeeeeeeeeeeeeeeeen.
 
Back
Top Bottom