Naomba maoni yako juu ya hii blog

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,458
3,204
Ukiwa kama mdau muhimu wa mabadliko katika teknolojia, naomba utembelee www.wilguy-jibebe.blogspot.com, na utoe maoni yako. Maoni yako ni muhimu sana, na yatatumika kujenga MUSTABALI WETU.
 
Mtandao unajibu kwamba the blog does not exist. Nifanyaje kuifikia blog yako mkuu..?
 
Mawaiba: labda ni tatizo la mtandao, jaribu kurudia tena MUSTAKABALI WETU.

Taja: ahsanate sana, ninayaheshimu maoni yako, lakini, unajidhalilisha ndugu...
 
Rekebisha rangi zako kwanza mkuu, especially background colours, kwa sababu kwa watu wenye matatizo kidogo ya macho huwa wanakuwa na vision nzuri kwenye white background, au at least broken white, cream, "light" blue, green, grey etc, then font jaribu kutumia rangi kali km black, dark blue etc. Au black background - white font. Khs contents sio mbaya.
 
una nia nzuri lakini cha kwanza jina la blog ni gumu sana try something simple ,pia find a templete for your blog iko odinary sana. rangi pia haivuti kabisa .nita pitia badhi ya templete nilizo nazo naeza kukutumia mmoja wapo ,PM me ypur email
 
Back
Top Bottom