Naomba Majibu......

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
Nauuliza bubu anatumia mbinu gani
kumwambia kipofu kwamba mke
wake anachukuliwa na kiziwi?
 
Naenda kulala naomba Mungu niamke salama kesho asubuhi huenda nikakata hili swali limejibiwa.
 
Naenda kulala naomba Mungu niamke salama kesho asubuhi huenda nikakata hili swali limejibiwa.

usisahau kushusha chandarua Katavi.
Jibu la swali, bubu atamtumia kibogoyo kufikisha ujumbe.
 
Last edited by a moderator:
Loh! kweli swali. . . Sema kichwa changu toka filamu ya Kova na Joshua ianze kimegoma kufikiri. . sasa hapa ndo nimeshindwa kuwaza kabisa
 
Back
Top Bottom