Naomba majibu......!

hivi ni elimu KIASI GANI INATOSHA KUFUTA UJINGA???

Kwa tafsiri MJINGA ni mtu asiye jua kusoma wala kuandika, so kwa maana hiyo hata elimu ya shule ya msingi inatosha kuondoa UJINGA.
 
Kwa tafsiri MJINGA ni mtu asiye jua kusoma wala kuandika, so kwa maana hiyo hata elimu ya shule ya msingi inatosha kuondoa UJINGA.
Hivi John Major (Ex PM, UK) na Jacob Zuma (Current President, RSA) wana elimu gani vile? Baba yangu hakuwahi kusoma darasa lolote, lakini alikuwa mfanyabiashara maarufu miaka hiyo. Pamoja na "ujinga" wake kwa kuwa hakufika darasa la 7, aliweza kmf. kununua mashamba, kujenga majumba na kusomesha watoto wake wote 9.
 
Kama elimu yako sio ya mchina, badili sentensi hii kwa kingereza.
BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI?
Nipe jibu nicheke kabla cjalala!
 
Back
Top Bottom