Naomba maelekezo kuhusu Health Information System

Kama madaktari tu hawaajiriwi ,pia ukimaliza hii usiweke sana matarajio kapambane huko private sector
Usitake kumdanganya mwenzio bure, hii kozi ina market sana! Hawa ni makatibu wa mahospitali na wanahitajika sana. Hii kozi ni sawa public heath hata kwenye NGOs wanahitajika sana, itapendeza zaidi akifanya masters yake ni very marketable.
 
Ooohhh kumbee nashukuru ndugu yngu..
Sasa masters yake kozi hii nachukulia wapi na nabase sehemu gani
 
Hii kozi inahusika sana na mambo ya hospital information systems na data bases kwa hiyo ili kwenda nayo sawa inabidi uwe unaijua I.T
Swala la ajira sijui likoje ila kwa sasa hospitali kubwa kubwa zinaachana na mifumo ya kizamani
 
Usitake kumdanganya mwenzio bure, hii kozi ina market sana! Hawa ni makatibu wa mahospitali na wanahitajika sana. Hii kozi ni sawa public heath hata kwenye NGOs wanahitajika sana, itapendeza zaidi akifanya masters yake ni very marketable.
wewe ndo umemdanganya, makatibu wa hosp. ni health system management na kwa tz inatolewa mzumbe tu kwa shahada. na haiko sokoni kiivo maana walikuwa wana ajiliwa moja kwa moja.ila tangu mwaka juzi ni ajira za kutafuta kwa tochi.

hii aiuliziayo mdau ni IT upande wa hosp. ajira zipo.
 
Soma alichouliza muuliza swali, naona hata hujui ameuliza kitu gani. Hiyo hiyo iliko Mzumbe ndiyo aliyouliza na sio IT tu. Hapa inahusu hasa utawala katika mahospitali, unaweza hata kua Mkurugenzi wa hospitali.
 
kauliza health information system

ukatibu afya ni health system management (HSM)

au unataka ligi mkuu, ukatibu afya upo kwa shahada iyo anayo ulizia (health information system) walikuwa wanataka anzisha kwa degree ya 2
 
wewe ndo umemdanganya, makatibu wa hosp. ni health system management na kwa tz inatolewa mzumbe tu kwa shahada. na haiko sokoni kiivo maana walikuwa wana ajiliwa moja kwa moja.ila tangu mwaka juzi ni ajira za kutafuta kwa tochi.

hii aiuliziayo mdau ni IT upande wa hosp. ajira zipo.
Ahsanteni kwa msaada zaid
 
Inatolewa na mzumbe university peke yake hii kitu fuatilia mzumbe
 
Back
Top Bottom