Naomba maboresho ya Standing Orders

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,417
3,154
Nimekuwa nikisikia kutoka kwa maafisa mbalimbali ya kwamba kuna mabadiliko yalifanywa kwenye Public Service Standing Orders, 2009, mabadiliko hayo yanaruhusu watumishi wapya kulipwa posho ya siku 7, kutolipwa mizigo, n.k .
Naomba mabadiliko hayo ili nipate kujua kama kuna mambo mengine yaliyofanyiwa mabadiliko na kufanywa siri ili kubatilisha baadhi ya madai yaliyopo kwenye Public Service Standing Orders, 2009.
Mchango wako ni muhimu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom