naomba maandamano mengine arusha

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
Kama sijakosea CCM na serikali yake wamesema kama kuna mtu hajaridhishwa na uchaguzi wa meya aende mahakamani,lakini kama nakumbuka vizuri Askofu Laizer alisema uchaguzi urudiwe na sheria ifuatwe,hivi CCM wanataka nini?wameshindwa hata kumsikiliza baba askofu Laizer

Natoa tamko kwa wakristo na wanachama wenzangu wa CHADEMA

MHESHIMIWA MWENYEKITI NA KATIBU MKUU CHADEMA
TUNAOMBA MAANDAMANO MENGINE ARUSHA SOON,HAWA JAMAA WANATUCHEZEA AKILI
 
Uzuri sasa hivi ni kwamba polisi hawahitajiki kabisa kwahiyo taarifaza kiintelijensia hazina kazi tena...kwahiyo muda wowote mkiomba mnaruhusiwa tu!
 
sasa Mbowe tutangazie maandamano this week au tusubiri sherehe ya kitaifa kwanza
 
nafikiri tusubiri Bunge liresume halafu hoja ya Dowans na Katiba mpya itakapokataliwa ndio tupange tarehe ya maandamano nchi nzima au?
 
?wameshindwa hata kumsikiliza baba askofu Laizer

Natoa tamko kwa wakristo na wanachama wenzangu wa CHADEMA

Hawa maaskofu wanao wanajisi watoto wa kiume, kuiba wake za watu hawawezi kusikilizwa na CCM na watanzania lakini kama ninyi wakristo na CHADEMA mnawasikiliza kila la kheri.
 
toa TOILET PAPER ILIYOTUMIKA hapa,mwehu wewe
 
Wanatuambia tuende Mahakamani, huku wakijua hukumu ya kesi itakuwa mwaka 2015. Si mnajua kwa hii katiba bibi mahakimu na majaji wengi ni makada wa ccm?

Hivi kauli ya Wasira aliyoitoa juzi Arusha ndiyo tamko rasmi la serikali kuwa uchaguzi hautarudiwa?
 
wote ni CCM B kama cuf
 
Hawa maaskofu wanao wanajisi watoto wa kiume, kuiba wake za watu hawawezi kusikilizwa na CCM na watanzania lakini kama ninyi wakristo na CHADEMA mnawasikiliza kila la kheri.

Umesahau hata Mama yako ni Mke wa Mtu? Peleka Pumba zako chooni.
 
Sasa huyu Meya feki ataendelea kukaa hotelini mpaka lini?
Wanaendelea kuchezea kodi za watanzania.
Siku tutakapoandamana tukiwa uchi wa nyama ndiyo watajua tumewachoka.
 
wanatuambia tuende mahakamani, huku wakijua hukumu ya kesi itakuwa mwaka 2015. Si mnajua kwa hii katiba bibi mahakimu na majaji wengi ni makada wa ccm?

hivi kauli ya wasira aliyoitoa juzi arusha ndiyo tamko rasmi la serikali kuwa uchaguzi hautarudiwa?

ndiyo maana yake!
 
sasa huyu meya feki ataendelea kukaa hotelini mpaka lini?
Wanaendelea kuchezea kodi za watanzania.
Siku tutakapoandamana tukiwa uchi wa nyama ndiyo watajua tumewachoka.

hiyo uchi wa nyama utaandamana mwenyewe bra watz hawawezi hiyo
 
Wanatuambia tuende Mahakamani, huku wakijua hukumu ya kesi itakuwa mwaka 2015. Si mnajua kwa hii katiba bibi mahakimu na majaji wengi ni makada wa ccm?

Hivi kauli ya Wasira aliyoitoa juzi Arusha ndiyo tamko rasmi la serikali kuwa uchaguzi hautarudiwa?

wamefunga muzee lazima tuandamane otherwise imekula kwetu
 
Back
Top Bottom