Naomba kuwajua wachaga kwa tabia zao kutokana na dilects.

Jan 5, 2011
84
5
Wachaga wapo wa aina nyingi kutokana na dilects mfano wamachame, waorombo, wahanjo wakiwoso n.k je hawa wanatabia gani kwa ujumla ni wapi walio na mafanikio kibiashara kielimu n.k tafadhali naomba minjuze.
 
wote wanamafanikio kielimu coz wote walimkubali mkoloni na wamisionari.
Kibiashara nadhani wakibosho, warombo na wamarangu ndio sana.0wamachame nadhani bado.
 
unafanya reseach uandike thesis ama?
hamchoki tu kutujadili wajamini?
Nyerere alikataa ukabila.
Bora title yake itaje mkoa na sio kabila
 
Back
Top Bottom