naomba kuwaasilishaa.......

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
Jamani eee wanajamvii naombeni kuwasilisha hili kwani nimelifikiria nimeona linafaa!! Ni kuhusu ''JINSI'' AU ''JINSIA'' kuna THREAD ambazo unatakiwa uchangie kwa kuzingatia ''JINSIA'' kati ya ''ME'' AU ''KE'' mimi hili hua linanichosha kwani ninakua sijua nafanyeje na nichangiaje!?!?

Naanza.
Stevoh: ''ME''=MUME
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom