Naomba kuwa Rais Dikteta wa Tanzania

SIFA ZANGU 1 NI MZALENDO HALISI NA MPENDA MAENDELEO YA WATANZANIA
naombeni mniulize maswali ili mjue kama mtanichagua nitawafanyia nini watanzania, niko serius

Haya yote mimi nayajua kwa mapana na marefu, huna haja ya kunifundisha wewe nipe tu kuzi ukatawala kilegelege halafu mambo yakaenda maana kuna mizizi mibaya ambayo inahitaji udikteta kuing'oa "give me your vote pls"

niifanyie nini nchi wakati hamjanipa nafasi? nipeni halafu baada ya mwaka ndiyo muulize. na napenda kukuelewesha kuwa udicteta wangu siyo kwa wananchi ila ni kwa wale wote walio fisadi kwa hiyo dada usiogope. 'give me your vote pls"

...major, 'if my vote' will make a difference, 'chukua'!
 
Naomba niwe na Swali...

Hawa Mafisadi utawafanya nini ukiwa kama Rais Dikteta wa Jamhuri hii..?

Swali zuri. hawa mafisadi ningekuwa na hasira za kikweli na siyo hasira za kumtuma eti katibu wangu awasomee wananchi wangu kwenye karatasi eti aseme rais amechukizwa sana na kitendo hiki no,mimi kwanza kabla ya kusoma hiyo taarifa mhusika tayari yuko sentral polisi na kinachofuata ni kuitisha mkutano jangwani na kumtoa mhusika adharani na kumpiga risasi 5 za kichwa huku wananchi wangu wakishuhudia halafu tuone kama kuna ambaye angethubutu kula mlungula. "give me your vote pls"
 
NO hawa pamoja na mama zao dawa yao ni ndogo sana yaani ni kuomba picha zao na kutengeneza mabago kila mkoa kila wilaya na kila kijiji, mjini ni kila mahala unabandika picha zao na ujumbe mzito juu kuwa NDUGU WANANCHI HAWA NDIWO WAUAJI WA NCHI YETU MSISHIRIKIANE NAO basi hapo unakuwa umewaua maana watakunywa sumu wenyewe kwa kukosa marafiki na hii ndiyo staili ya kule CHINA na staili hii unaambiwa ndiyo komesha ya mambo yote maana hawa hata wakiingia dukani kufanya shoping mwenye duka hawauzii mama aliingia sokoni soko linafungwa hawauzi mwisho wanaona duniani siyo mahala pao kwa hiyo wake wa viongozi wote wangekuwa makini na waume zao sana!! na hata watoto wangekuwa makini na wazazi wao wasije aibika
 
we kweli dikteta na mbio zako za ikulu zitaishia kwenye thread hii!
 
Unaomba kuwa Rais Dikteta wa Tanzania? unaemwomba nani?anza kwa kututhibitishia udikteta wako nyumbani kwaqko na kazini kwako halafu tutakufikiria vingingevyo tayari tunaye MFALME JUHA tafuta post zake utazipata humu
 
Major

Ndugu yangu umenuia kweli? acha basi utani, tunajua watanzania tumechoka na haya tuyaonayo leo,unaonaje kama ukiwashawishi JF wote kwanza wakuchangie pesa za kampeni kwanza? usisahau kupita nchi nzima si mchezo, panataka chochote kitu(pesa), ama unazo mkononi? basi na mimi kura yangu unayo, lakini pia nitakuwa mpiga kampeni wako wewe waonaje?
 
Major

Ndugu yangu umenuia kweli? acha basi utani, tunajua watanzania tumechoka na haya tuyaonayo leo,unaonaje kama ukiwashawishi JF wote kwanza wakuchangie pesa za kampeni kwanza? usisahau kupita nchi nzima si mchezo, pamataka chochote kitu, ama unazo mkononi? basi na mimi kura yangu unayo, lakini pia nitakuwa mpiga kampeni wako wewe waonaje?

Tuko pamoja mkuu
 
we kweli dikteta na mbio zako za ikulu zitaishia kwenye thread hii!

Sasa ndugu yangu wewe kizuri kwako ni kipi? kuwa na raisi dikteta uchumi ukapaa au kuwa na raisi mwenye tabasamu halafu "mbwa akalamba reli"
 
Unaomba kuwa Rais Dikteta wa Tanzania? unaemwomba nani?anza kwa kututhibitishia udikteta wako nyumbani kwaqko na kazini kwako halafu tutakufikiria vingingevyo tayari tunaye MFALME JUHA tafuta post zake utazipata humu

Be serius man!!
 
Sasa ndugu yangu wewe kizuri kwako ni kipi? kuwa na raisi dikteta uchumi ukapaa au kuwa na raisi mwenye tabasamu halafu "mbwa akalamba reli"

Tukikwambia uchague uwe tajiri gerezani au fukara aliye huru utachagua nini?
 
ktk serikali yangu yangu sitaki kusikia eti waziri anaendeshwa kama mgonjwa, aendeshe mwenyewe na kama hawezi basi atatembea kwa miguu, na vile vile nikikuteua kuwa waziri nitakupima na uzito wako ili kama utaongezeka uzito ukiwa kazini basi ujue umejifukuza kazi mwenyewe huo ni dalili ya ufisadi,kwani hukuongezeka kabla ya kuwa waziri?!!sintakuwa na mchezo
 
na watoto watakaokuwa below 18 nao utawatengenezea maadui?

Mtoto wa nyoka ni nyoka tu hakuna salia mtume

Umeshajiuliza global response kwa kiongozi asiyeheshimu mkataba wa kimataifa wa haki za watoto?

huo uchumi unataka kuukuza kwa kufanya biashara na nani? maana udikteta wako utazaa sanctions tu kwa Tanzania. Open your eyes!!!
 
Back
Top Bottom