naomba kuuliza...

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
leo nimepata nafasi nimezurura huku jukwaani lakini yafuatayo yamenitatizaa;
1. Wanaoandika majina ya wenzao wengine wanawezea lakini wengine mpaka u''reply'' ndo yanatokelezea.
2. Mbona watu wananichanganya kuhusu harusi ya mtoto6 na Chaming....
Naomba mwongozo juu ya hili.
3. Mbona harusi sijui ndo ya hao wanajamvi ina utata na vipingamizi kuliko?????

Naomba kuwasilisha nipewe na majibu tafadhali
 
yani hii ni thread karibu mia kuhusu utata wa ndoa ya MtotoSix na charminglady. ila maswali yako ungeyarusha direct kwa wanaopinga hii ndoa kufungwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom