Naomba Kuuliza?

vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,749
1,000
Hivi viongozi wetu mlio juu, hamjui kama tenda nyingi za serikali wanapewa wale wanaojua kutoa 10% lakini sio kwa watendaji Bora?

Kama mlikua hamjui, naoma kwa leo mlijue hilo na mchukue hatua. Ninajua wengi wenu mnaipata hiyo 10% ndio maana imefumbiwa macho.

mkiweza kumaliza hili mtakua mumeumaliza ufisadi for over 70%.
 
Back
Top Bottom