Naomba Kuuliza-NI lazima Bajeti za Mataifa hasa EAC kusomwa siku moja?

Gugwe

Senior Member
Jul 25, 2011
122
54
Katika kutafakari tu ni makubaliano yapi au msingi upi unaofanya bajeti za nchi mbalimbali hasa afrika mashariki kusomwa siku moja na takribani kwa muda unaofanana? au kuna sababau za kiuchumi? kisiasa naomba kueleweshwa katika hili kwani kwa siku ya jana nimesikia bajeti ya Tz, Kenya na Uganda kusomwa kwa siku moja na angalau kwa muda unaofanana.
 
Back
Top Bottom