Naomba kuuliza,je naweza kupata Laptop nzuri kwa bei ya 300,000?

used unapata kbao.... Kama hz dell latitude d 630 na 620... Hz znakua na gb 80 hd ram 1 gb mpaka 2gb... Then kuna mwana huwa anatokanazo nje yy akija huwa anauza kwa bei nafuu.... Anajiita master fuko then yy hzo dell ikiwa brand new huwa anauzwa kwa 380000 ila ukimshusha unaweza kuchukua kwa 350000, ila hana sehemu ya biashara yy anafanya biznes kupitia mitandao ya kijamii anazo uza yy ni brand new

Mkubwa naomba msaada wa mawasiliano ya MASTER FUKO supplier wa hzo laptop.
Msaada wako plz.
 
used unapata kbao.... Kama hz dell latitude d 630 na 620... Hz znakua na gb 80 hd ram 1 gb mpaka 2gb... Then kuna mwana huwa anatokanazo nje yy akija huwa anauza kwa bei nafuu.... Anajiita master fuko then yy hzo dell ikiwa brand new huwa anauzwa kwa 380000 ila ukimshusha unaweza kuchukua kwa 350000, ila hana sehemu ya biashara yy anafanya biznes kupitia mitandao ya kijamii anazo uza yy ni brand new

ni pm nami hzo kontacts mkuu.....plz
 
Mkuu nurbert kama ni kweli ulichosema mm binafsi nahitaji kwa kweli, naomba nipm contacts zake (simu/barua pepe).
Hii ndiyo faida ya JF na huku ndiyo kusaidiana, Mungu akubariki na endelea kutuletea maneno ya busara kama hayo. Nadhani na wengine wataiga toka kwako.
 
used unapata kbao.... Kama hz dell latitude d 630 na 620... Hz znakua na gb 80 hd ram 1 gb mpaka 2gb... Then kuna mwana huwa anatokanazo nje yy akija huwa anauza kwa bei nafuu.... Anajiita master fuko then yy hzo dell ikiwa brand new huwa anauzwa kwa 380000 ila ukimshusha unaweza kuchukua kwa 350000, ila hana sehemu ya biashara yy anafanya biznes kupitia mitandao ya kijamii anazo uza yy ni brand new

Please Mkuu naomba ni PM jinsi ya kuwasiliana na huyu mheshimiwa.
 
used unapata kbao.... Kama hz dell latitude d 630 na 620... Hz znakua na gb 80 hd ram 1 gb mpaka 2gb... Then kuna mwana huwa anatokanazo nje yy akija huwa anauza kwa bei nafuu.... Anajiita master fuko then yy hzo dell ikiwa brand new huwa anauzwa kwa 380000 ila ukimshusha unaweza kuchukua kwa 350000, ila hana sehemu ya biashara yy anafanya biznes kupitia mitandao ya kijamii anazo uza yy ni brand new
Haya nyie nendeni mkapigwe machanga,hiyo laptop ya 300,000/= ni desktop hiyo lazima iwe kwenye charge ndio uitumie,sasa nyie kimbilieni tu mtaona balaa lake!
 
dah ndio maana sitamani kukatika jf kamanda na mimi n pm hizo namba pls naitaji laptop moja tafadhali
 
Haya nyie nendeni mkapigwe machanga,hiyo laptop ya 300,000/= ni desktop hiyo lazima iwe kwenye charge ndio uitumie,sasa nyie kimbilieni tu mtaona balaa lake!

Wewe vipi umeambiwa jamaa anauza kiuswaz uswaz so hana gharama za kulipia frame kila mwezi hivyo bei kushuka ki hivyo si ajabu.
watu washajichukulia mzigo ni Brand neeeew charge masaa 3 na ushee
usifikiri mdosi wako pekee ndiye anajua biashara!!!!!!!
tuondolee wivu wa kijinga Krapka davnoooooooo!!!!!!!!!!
 
kaka ni pm na mimi nijipatie huo mzigo bila kukosa
 
Mkuu Ni bora ukajipanga Ukaja kununua laptop ya bei kidogo na mpya.

Mi nishajuta kununua vitu Used. Maana Used ya Mbongo ni mbovu. BELIEVE ME
 
dah... Kaka privacy ya mtu inazingatiwa... Kama zngekua za kwangu ninge mwaga hapa,. But its not ma number... So i have to respect other peoples privacy...Unataka moderator ani ban teh teh teh teh.,
Sasa mkuu huyo mtu anafanya biashara au ni mtu wa privacy. Weka details open, otherwise - you are on to PM people daily. Which isn't business then.
 
dah... Kweli kaka nmechokaaa duh haya chukueni hii 0712 409641
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom