ugoro unawaarribu sana vijana wetu i think this guy is 1 of them
Hua hazijakauka anazovuta yyBangi huwa unavuta muda gani. Tafadhali badili huo muda soon utakuwa chizi
Very interesting. ...I like it. ..umetutega haswa. ..bwahaha
Nimetanguliza samahani mkuuUnavotengeneza Uzi Kama Huu Basi Uwe Na Uwezo Pia Wa Kujibu "Shit"
Nilivyokuja mbio sasa ......... !!!!!!
kanikamata sana.Naomba tuheshimiane mkuu, maana sio kwa mbio hizi ulizo nisababishia kuwahi nisipitwe..
Dah! Nimeingua kwa mwendokasi.
Wewe si mtu wa mchezo mchezoUsirudie tena, sipendagi ujinga mimi
Wewe ulioweka hizi picha mungu anakuona
ulijua picha za utamNaomba tuheshimiane mkuu, maana sio kwa mbio hizi ulizo nisababishia kuwahi nisipitwe..
Hovyo kabisaulijua picha za utam
Atuombe radhi huyu