Naomba kura zenu zote kwa madame b.

Hongera zake Madame B, Uchaguzi huu atashinda kwa kishindo. ninacho muomba Ruhazwe JR atende haki tu coz hadi sasa madame B kashaingia final. ila sijajua atachuana na nani. Jina lake limetokeza mara nyingi kiasi kwamba hadi wapinzani wake wamempendekeza. Hongera zako Madame B. Mia
 
Last edited by a moderator:
Nenda kwenye ile thread ya ruhazwe jr kapige kura yako kwa madame b sasa hivi.
 
mbona nshapiga tayari?. madame B kashashinda tayari!! vocha tutaikwanguajee??. mia
 
Hakika una jitahidi kumpigia wangu campaign i like only that.
 
Back
Top Bottom