Naomba kupigwa bani ya maisha, ikiwezekana mod delete username yangu kabisa

payuka

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
829
127
Wandugu wa JF,

Leo tarehe 02/06/2011 zikiwa zimebaki siku takribani tano kuanza kusoma kwa bajeti ya 2011/2012; nimeamua kwa hiari yangu mwenyewe billa kushawishiwa na mtu yeyote yule, huku nikiwa na akili zangu timamu kuachana na username ya payuka.

Huu ni mkakati wangu kababambe niliouamua katika kuhakikisha nabadilisha mambo mbalimbali katika mfumo wangu wa maisha.

Hivyo basi namuomba invisible au moderator yeyote asaidie ombi langu hapo juu, ningependa waifute kabisa username ya payuka.

Asanteni sana wandugu, tuko pamoja mtaani na tutaendelea kuwa pamoja.

Payuka
 
maralia imepanda !
 
Kuachana na Username yako?, Mlifunga pingu za maisha na hiyo username?
 
Siku za kusoma budget zinahusiana vp na username ya hapa jf?
pili kwan unashea na mtu hiyo username? kama haushei ni simple tu, we wacha kuvisit wala kupost chochote humu jf.
 
Tena kwa style ya jina lako inawezekana hata hilo tangazo nalo umepayuka tu, halina ukweli wowote
 
Back
Top Bottom