Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,326
- 18,789
Wadau kuna hichi kijidude kinaitwa GARTER huwa naona mabibi harusi wa kizungu wanavaa kwenye paja, sasa naona hata hapa bongo kimeingia halafu katikati ya shughuli muda fulani bwana harusi anakitoa kwa mkewe anawarushia mabatchelors kama wanavyofanya mabibi harusi kurusha maua kwa wasichana walio single, je ningependa kujua kina maana gani kitu hichi na ni mila za wapi.