naomba kujuzwa!

nashukuru kwa pm zenu, ndo nipo njian nkifika ntachagua 1 ya sehemu mlizontajia. . . wabheja sana mwanawane!
 
Kwamba kuna mfugo unaingia Tauni kutokea mkoani,, halafu unahitaji kujulishwa viwanja vya kula Bata. Halafu umeweka mkwara kwamba hauhitaji kampani (you know wara'm saying).. Kama uko Tauni Mkuu, Do ze nidful ukale kuku wa kienyeji.

All the Best from TANMO

Basi mimi ndio nazidi kuipenda jf! Huo mfugo utashukia ubungo, JKN, Bandarini au Stesheni ya Mwakyembe?
 
heri wanajamvi? naomba kujuzwa ni maeneo yepi ya kujidai ukiwa ndani ya bandari salama? nitakuwa huko ths w-end. . . .
plz yawe maeneo mapya hasa yaliyofunguliwa ndani ya mwaka.cos tangu mwaka uanze cjaja kuosha macho huko!
N.B. SIHITAJI KAMPANI TOKA KWA MWANA JAMVI. . . . asanteni!

Mi sio mwanajamvi naruhusiwa kampani?
 
Wakwetu usisahau mabwepande eeh! Pia kusafisha nyota, najua unahitaji iyo kitu.
 
weeee, nani kakwambia kuwa kuna bure iliyo bure Vodka? vya bure vinaua ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:
weeee, nani kakwambia kuwa kuna bure iliyo bure Vodka? vya bure vinaua ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:
weeee, nani kakwambia kuwa kuna bure iliyo bure Vodka? vya bure vinaua ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom