Naomba kujuzwa kuhusu mapenzi

I used it na nimefanikiwa.........Hata kama utaikumbuka namba yake wewe IFUTE.......pia usi'ntertain kuchat nae.......achana na masuala ya kum'text wala kumpigia na akipiga au kutext dont answer......itakusaidia japo itachukua muda
hapa naona umeamua kuni injoi wala huna nia ya kunipa ushauri wa kuweza kujitoa.
 
I used it na nimefanikiwa.........Hata kama utaikumbuka namba yake wewe IFUTE.......pia usi'ntertain kuchat nae.......achana na masuala ya kum'text wala kumpigia na akipiga au kutext dont answer......itakusaidia japo itachukua muda
yap tena azidi kufikiria mabaya ya huyo jamaa na kidogo kidogo atajenga chuki na ataweza kumuacha.
 
I used it na nimefanikiwa.........Hata kama utaikumbuka namba yake wewe IFUTE.......pia usi'ntertain kuchat nae.......achana na masuala ya kum'text wala kumpigia na akipiga au kutext dont answer......itakusaidia japo itachukua muda

nimeachana nae mara nyingi mpaka nikimwambia saizi aamini na anaendelea kama kawaida kuja kwangu na akija nashindwa kabisa nilikua nawaza

kuhama hapo nilipo lakini saizi bado sijajipanga.
 
ukishindwa kumchukia
jaribu kumfanya akuchukie......
kuwa cruel kwake,mpe maneno ya kukera mpaka akuchukie...

atanishanga sana sipo hivyo kabisa mana si mshari sipendi vurugu wala ugomvi.
 
kama umalaya wake anaufanyia mbali ila wewe anaendelea kukujali na kukuheshimu we endelea nae tu.

nimevumilia nimechoka sana inanikosesha raha wanawake wake wananisumbua na maradhi ya sasa ndio usiseme nitakufa haraka kama sio kwa

presha basi hata ugonjwa wetu huu.
 
nimevumilia nimechoka sana inanikosesha raha wanawake wake wananisumbua na maradhi ya sasa ndio usiseme nitakufa haraka kama sio kwa presha basi hata ugonjwa wetu huu.
pole sana mpenzi, huitaji kukosa raha sababu ya mtu. Tatizo unahisi hakuna kama yeye, unahisi yeye ndio kila kitu kwako. Labda unaogopa kuvunja uhusiano kwa sbb flani flani. Ondoa hofu na ufanye hayo maamuzi mazito. Songa mbele, mapenzi hayapo kwa ajili ya kuumizana, kama kipindi chenu cha uzinzi ni mateso na chuki je mkija kuoana itakuwaje?
 
Kwa nini tunapenda? unaona kabisa mtu hakufai lakini unashindwa kumuachia.

Ni kweli hilo usemalo lakini sio rahisi ukatokea kumchukia mtu na kutaka kumwaga lakini hamwagiki bila kuwa na kitu fulani kinachosababisha hiyo hali itokee.

Kifupi ni hivi: tambua kuwa huyo mtu kweli yupo au alikuwepo moyoni mwako, na ulimkabidhi moyo wako wote kwa upendo. lakini kutokana na hali usiyoifahamu ukubaini kuwa ana-kasoro fulani na moyo wako ukaanza kumchukia ghafla i.e kuhisi kuwa anakutenda au kucheat some where else au kuwa ana tatizo fulani ambalo hukulitambua before/siku za mwanzo.

Ushauri: Hakuna binadamu aliye mkamilifu hata siku moja. Sisi sote hapa duniani tunapita njia tu. Kama inawezekana ni vema ukatuliza moyo wako, kisha muite kwa ustaarabu kabisa e.g mtoe out, kaa naye sehemu tulivu, then mueleze my dear mwenzio kiukweli nakupenda sana na mengine mengi tu ya moyoni, then mwambie ni kiasi gani unaumia juu yake hasa kwa jinsi akutendeavyo na jinsi wewe moyo wako unavyo-umia.

NB: Ukisema uanze kum-mwaga chini huyu, mara kesho yule, unaweza fikia hatua ya kujaza basi la yutong au Dar express lakini bado hutapata suluhisho la tatizo lako.

Wahenga: wahenga wanasema hivi: Wanaume wote ni kama wamezaliwa baba mmoja na mama mmoja! plse kuwa makini sana my dear.
 
pole sana mpenzi, huitaji kukosa raha sababu ya mtu. Tatizo unahisi hakuna kama yeye, unahisi yeye ndio kila kitu kwako. Labda unaogopa kuvunja uhusiano kwa sbb flani flani. Ondoa hofu na ufanye hayo maamuzi mazito. Songa mbele, mapenzi hayapo kwa ajili ya kuumizana, kama kipindi chenu cha uzinzi ni mateso na chuki je mkija kuoana itakuwaje?

Hapana mpendwa hapo nadhani unakosea kabisa. hata wewe ndani ya ndoa yako hadi hii leo yapo mambo ambayo kiukweli hukutegemea kama siku moja mr. wako angekufanyia lakini kwa sababu umempenda toka moyoni umeamua kuvumilia na watoto wapo na familia ina furaha. Jaribu kumweleza mdogo wako kuwa sometimes uvumilivu ni muhimu katika mahusiano coz hakuna mtu aliyemkamilifu chini ya hili jua. Kumbuka kuwa shetani alishatuzidi ujanja toka enzi za adam na hawa haya yote yanayotokea leo na hadithi tu za mapokeo na hatuna budi tujifunze na pia tuwe wavumilivu.

NB: kuchovya chovya kubaya sana mwisho wa siku tutachovya na visivyo-chovyekwa! plse tuwe makini haya maisha ya duniani ni mafupi sana hasa tusipokuwa makini au tukiona kila king'a acho mbele yetu ni dhahabu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom