Naomba kujuzwa kitu kuhusu EWURA

Tanganyika1

JF-Expert Member
May 10, 2011
422
86
....jamani nimeckia kuwa mamlaka ya udhibit wa nishati kuwa wana toa bei elekezi za nishati kila baada ya wiki 2. Nachotaka kujua ni kuwa je gesi asilia ile tunayotumia kupikia huwa wanatoa bei pia? Mama mambo haya nanavyokwenda mi hata celewi tena kwa hii nishati mana kila kukicha bei inaongezeka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom