Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naomba kujulishwa bei za kufungiwa umeme

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ase, Apr 17, 2011.

 1. ase

  ase Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wakuu samahan naomba kwa watu wenye uzoefu na mambo ya umeme.hivi ukishafanya wiring na ukalipa ela ya saveyer.na kama nguzo ipo karibu na nyumba hivi hapo kwa kawaida uwa wanalipisha sht ngapi?
   
 2. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #2
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 4,831
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Utalipa laki 400,000 ya TANESCO na laki 100,000 ya rushwa ili ufungiwe fasta!!!!
   
Loading...