Naomba kujua

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,538
1,753
Habari wana JF,
Naomba kujua kuhusu kujiunga na Jeshi la wananchi (JWTZ), kwan ni muda kidogo sikuwepo humu jamvini.

Cha muhimu naomba kujua kama tayari nafasi zilisha tolewa au bado na kama bado ni lini wataanza kukaribisha maombi.
SHUKRANI.
 
Back
Top Bottom