Naomba Kujua Vyanzo Vipya vya Mapato ktk Budget ya 2011/2012

ndenga

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,788
1,302
Wakuu nimekuwa nikifuatilia sana katika budget zetu, mara nyingi nimekuwa nikiona kuongezeka kwa kodi katika vyanzo vilivyopo ie Bia, Cement, Madini, Soda, Mafuta. Lakini sijaweza kuona jitihada za kutosha katika kuweza kuonyesha na kutoa analysis ya vyanzo vipya vya mapato katika budget zetu. Hii ingeweza hata kupunguza Makato ya mshahara (payee) ya 30% zinazokatwa kwa mfanyakazi malala hoi wa Tanzania na kuwaze kumpa ahueni ya maisha( Maisha Bora kwa Kila Mtanzania).
Noamba mwenye kuweza kutupatia analysis nzuri ya vyanzo vipya vya mapato specificaly katika budget yetu 2011/2012 na jinsi vitakavyoweza kusaidia katika mapato ya budget hii.
 
Back
Top Bottom