Naomba kujua virefu au maana ya majina ya hii mitandao kwa anayefahamu wanajamvi?

enock yusto

JF-Expert Member
May 28, 2014
377
340
kama kichwa kinavyojieleza naomba kufahamishwa maana au virefu vya majina ya hi mitandao mfano;VODACOM,AIRTEL,TIGO,ZANTEL,HALOTEL.nk

nawasilisha,nakarbisha maoni yenu ndugu wanajamvi!
 
Tigo- kwa mujibu wa wamiliki wa tigo wanatuambia kuwa neno tigo limetokana na neno la kihispania contigo ikimaanisha kuwa na wewe (with you). Hapa kwetu uswazi tigo ina maana nyingine kabisa ...........
Tupe hiyo maana ya kikwetukwetu bwana! Mambo ya kihispaniola yanatuhusu nini ndugu?
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Tigo- kwa mujibu wa wamiliki wa tigo wanatuambia kuwa neno tigo limetokana na neno la kihispania contigo ikimaanisha kuwa na wewe (with you). Hapa kwetu uswazi tigo ina maana nyingine kabisa ...........
Hapa kwetu uswazi tigo ina maana nyingine kabisa ...........tutajie hiyo maana mkuu na sisi tuijue!
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Tigo- kwa mujibu wa wamiliki wa tigo wanatuambia kuwa neno tigo limetokana na neno la kihispania contigo ikimaanisha kuwa na wewe (with you). Hapa kwetu uswazi tigo ina maana nyingine kabisa ...........
Kweli mshikaji mshikaji, Ni watoto wa mjini wameforce hiyo maana nyingine ya tigo.
 
Ah wapi mshikaji, huko uswazi tigo haikuwa na maana nyingine yoyote tangu mtandao wa mobitel ulipobadilishwa na kuitwa tigo. Ni watoto wa mjini tu wameforce hiyo maana nyingine!
Mobitel haijawahi kubadilishwa kuwa tigo. Iliyobadilishwa kuwa tigo ni BUZZ.
 
Una maana kwamba Buzz na Mobitel ni vitu viwili tofauti?
Wanaweza kuwa ni walewale lakini ubadilishaji wa haya majina ukawa na sababu zinazoifanya ionekane si walewale.

Hii ndio Tanzania Ndugu yangu.

Nadhani unaijua iliyokuwa Sheraton Hotel.....
 
TIGO, Huu mtandao mwanzoni kabisa ulijulikana kama MOBITEL, baadae wakabadili kuwa BUZZ na hatimaye ndio sasa TIGO.
 
Tigo- kwa mujibu wa wamiliki wa tigo wanatuambia kuwa neno tigo limetokana na neno la kihispania contigo ikimaanisha kuwa na wewe (with you). Hapa kwetu uswazi tigo ina maana nyingine kabisa ...........
Teh teh! Sisi hatujawahi kua na neno tigo bhana
 
Back
Top Bottom