Naomba kujua taasisi ya fedha au benki ndani na nje zitoazo seed funding

IPILIMO

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,819
799
Tafadhari naomba mwenye kujua taasisi za fedha za ndani au nje zinazotoa mikopo ya miradi inayo anza (miradi mipya) na masharti yake. Sorry!
 
Mkuu na mimi natafuta sana iyo connection...nina mradi mpya nataka kuuanzisha wa kilimo kipana zaidi..ngojea niendelee kuchimba data.nitaku pm email yangu tuendelee kubadilisha taharifa mkuu.
 
Mkuu na mimi natafuta sana iyo connection...nina mradi mpya nataka kuuanzisha wa kilimo kipana zaidi..ngojea niendelee kuchimba data.nitaku pm email yangu tuendelee kubadilisha taharifa mkuu.

Umenena mkuu, wote tuendelee kucheki!!
 
Tafadhari mwenye kujua taasisi za kifedha na zisizo ndani na nje ya nchi zitoazo seed funding/start-up capital kwa start-up project ( banana wine processing plant). Plse!

Kuna taasisi inaitwa AECF huwa wanatoa mikopo kwa wakulima na wajasiriamali wanaosindika mazao ya kilimo.
Google jina hilo utawapata kwenye web-site yao ili uone sera zao.
Good luck.
 
Jamaa si anadili na wine ama?

Ni kweli ameandika kuwa anataka kutengeneza banana wine.
Kwa hiyo atawapatia soko wakulima wa ndizi, hivyo ni motisha kwa wakulima maana soko linaongezeka.
Hawa jamaa wa AEFC wanatoa mikopo kwa wajasiriamali kuanzia kwenye kilimo chenyewe, usambazaji pembejeo za kilimo, kuhifadhi mazao, usafirishaji mazao kwenda sokoni, na pia viwanda vya kusindika mazao ya kilimo.
Hii ina maana kuwa shughuli yoyote inayompa manufaa mkulima wanaiangalia pia.
 
Thanks very much mkuu, will give you feedback!

Kuna taasisi inaitwa AECF huwa wanatoa mikopo kwa wakulima na wajasiriamali wanaosindika mazao ya kilimo.
Google jina hilo utawapata kwenye web-site yao ili uone sera zao.
Good luck.
 
Back
Top Bottom