Naomba kujua procedure za kufuata kuanzisha na kusajili kituo cha televisheni

brainee

Member
Dec 6, 2010
24
3
Wadau naomba kwa mtu yeyote mwenye uzoefu na haya mambo anisaidie yafuatayo

1.Utaratibu wa kufuata|+ requirements ili kupata leseni ya kurusha matangazo ktk TV

2.Jinsi ya kufanya ili tv station yako ianze kurushwa kwenye ving'amuzi ka startimes n.k
 
Back
Top Bottom