Naomba kujua please

iriko

Member
Aug 15, 2012
20
0
Mimi nimengiwa UDOM kujiunga first year this year BSc in Petroleum Engineering. Naomba kufahamu hivi petroleum Engineering at UDOM ilianzishwa mwaka gani hii kozi. Pia ningependa kujua zaidi kuhusu hii kozi.
 
Mi nipo Udsm, ila ni expert wa energy engineering. Hi kozi ni mpya, imeanza mwaka hu, na iko udom tu. Inahusika na mambo ya oil mining and exploration, ni mpango maalum kwa serikali ktk kozi hi, kutokana na gas na oil ilyogundulwa. Mtapata shavu sana mkimalza
 
Dah mwana,hlo ni bonge la shav,field lazma mkapge nje ya nchi,thn mnalipiwa kila ki2,yan hapo ajira yko tayar unayo serikalini,na ukimaliza 2 mshahara wko wa chn ni 1.2 mil,duh komaa mwana,hata kuroga roga umalize.
 
e bwana eh tuekane sawa kidogo hapo mimi pia nimechaguliwa hiyo coz , sikua clear na uamuzi wangu as first program slctns, na nilivyo chaguliwa tu nimeifuatilia sana ...i see some light out of it ila sina uhakika, je ni kweli serikali ina mipango mahususi na hilo !? Mwenye supporting idea na link ai post itanipa changamoto! Thanx in advance
 
Bro, Iriko tuko pa1 in that prgrm at UDOM, Niliiweka as first choice! baada ya kuona upekee wake na kushauriwa na baadhi ya watu!! am stil researching...i need ur company on that !
 
Hivi mbona siku hizi mijadala ya wanafunzi wa chuo kikuu imekaa kama mijadala ya wauza mitumba wa manzese? au mimi uzee ndio unanisumbua?
 
ndugu hili ni jukwaa la elimu ..ulitaka tuongelee wapi haya mambo....kama unapenda siasa na kuropoka tafuta jukwaa lake! hapa tuna saidiana kielimu!! si uzee bali huna uwezo wa kufikiria yaani mbumbumbu!!
 
Daah!! wakuu mimi nimechaguliwa Mining Hapo UDOM ila napenda sana Petroleum Engineering as ilikua my second choice so nataka nijue utaratibu wa kuhama program, if niki succeed tutakua pamoja if not still tutakua school moja, all the best guys
 
Mimi nimengiwa UDOM kujiunga first year this year BSc in Petroleum Engineering. Naomba kufahamu hivi petroleum Engineering at UDOM ilianzishwa mwaka gani hii kozi. Pia ningependa kujua zaidi kuhusu hii kozi.

Anza kutafuta nyumba ya kupanga mapema Lindi au Mtwara ukimaliza tu uanze kuhesabu Dollars kwenye makampuni ya Gas! Komaa sana umalize hapo umeula bwanamdogo.
 
we kwel umezeeka umekua hile DCCM cio marcopolo inayopiga root za gongo la mboto.......utan 2 mkuu

Hahahahahahahahahahaha, itabidi sasa nianze kutafuta spare za model mpya. Wasiwasi wangu ni kwamba zinaweza zisifit kwenye mashine ya zamani na inaweza kuhitajika kuchange engine nzima...
 
Mi nipo Udsm, ila ni expert wa energy engineering. Hi kozi ni mpya, imeanza mwaka hu, na iko udom tu. Inahusika na mambo ya oil mining and exploration, ni mpango maalum kwa serikali ktk kozi hi, kutokana na gas na oil ilyogundulwa. Mtapata shavu sana mkimalza

Yeah, nashukuru sana Mwanamabadiliko kwa good in4mation na kuniweka aware, naukubal sana mchango wako.
 
Bro, Iriko tuko pa1 in that prgrm at UDOM, Niliiweka as first choice! baada ya kuona upekee wake na kushauriwa na baadhi ya watu!! am stil researching...i need ur company on that !

yeah, its sounds greaty. I need ua full contacts please if u don mind, thats nyc company academically.
 
jamani kubadili kozi chuo ni ngumu sana, ni ngumu sana. hasahasa ukiwaambia maprof tatizo lako watakwambia njoo uombe mwakani lakini huwezi badili
 
Daah!! wakuu mimi nimechaguliwa Mining Hapo UDOM ila napenda sana Petroleum Engineering as ilikua my second choice so nataka nijue utaratibu wa kuhama program, if niki succeed tutakua pamoja if not still tutakua school moja, all the best guys
kama umemeet vigezo vyote ni rahisi sana mkuu kuhamia as long as kuna nafasi
 
kama umemeet vigezo vyote ni rahisi sana mkuu kuhamia as long as kuna nafasi

nasikia mpaka uende TCU dar ukaombe sasa mimi hata huko dar sipajui!! kuhudu vigezo ninavyo as it was my 2nd choice na nilikua ELIGIBLE
 
Usiwe na wasiwasi pale chuo wanatoa four week za kubadili programe ila inategemea na nafasi zilizopo kwenye programe unayoitaka
 
Back
Top Bottom