Naomba kujua maana

ndugu zangu napenda kujua maana ya maneno yafuatayo kwa lugha ya kiingereza"magari yanapishana"

swali lako lina walakini kidogo mkuu..magari hayawezi kupishana...mahana halisi ya "pisha" ni "ondoka ulipo ili nafasi hiyo itumiwe na mtu/kitu kingine" hii inaweza kuwa kwa ajili ya:

1. Kukaa - ndo tunasema "we mwanafunzi, mpishe mtu mzima kwenye seat" (ya daladala)

2. Kupita - hapa tunasema "pisha njiani hapo, huoni mtu anakuja na mzigo?"

sasa tukisema magari yanapishana italeta maana kuwa gari moja liaachia/linaondoka mahali ili jingine aidha lipite au liegeshwe pale.

kwa notion ya magari yanayojongea yakiwa yanatokea pande mbili tofauti nadhani "kupishana itakuwa sio neno muafaka thus huwezi pata tafsiri yake kwa kiingereza.
 
Sasa mkuuu mbona hujamalizia kwa kusema lugha fasaha ya kutumia...
 
Back
Top Bottom