Naomba kujua maana ya neno secretary

KennedyMmari

JF-Expert Member
Dec 12, 2012
979
183
Ndugu wana jamvi...nimekuwa nikijiuliza sana maana ya hili neno...lilitumia word formation process ipi na lilikusudia kubeba maana gani????

SECRET-siri
ary-ni kiambishi cha nini???

je ilikusudiwa kuleta maana ya "Msiri"?????

Naombeni mnitoe ukungu
 
Ni katibu Muktasi...angalizo! Si maneno yote kama ilivyo kwenye kiswahili ambayo ukiyavunja na kutafuta maana utapata maana iliyokusudiwa! Ngoja waje 'Ngine' yumkini tutapata jibu
 
Kuwa pamoja kuchangia hamasa miongoni mwenu, kwa kifupi unaweza kusema kuhamasishana.

Kuwa pamoja kuchangia mambo ya jamii, kwa kifupi unaweza kusema kujamiiana?
 
Kuwa pamoja kuchangia hamasa miongoni mwenu, kwa kifupi unaweza kusema kuhamasishana.

Kuwa pamoja kuchangia mambo ya jamii, kwa kifupi unaweza kusema kujamiiana?

kujamiiana ni neno sahihi pia katika muktadha unaozungumzia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom