naomba kujua kuhusu kubadilisha chuo

ant robbery

Senior Member
Sep 14, 2016
111
53
wakubwa habari za mchana .Naitwa Frank niliombaga chuo furan Uganda kinaitwa Cavendish univasity Uganda. kusoma bachelor of science in computer science lakin hata ivyo mm nimuajiliwa serikalini so kazin kwangu nimekataliwa kwenda kusoma.Sasa nauliza wakuu siwezi kubadilisha chuo kutoka icho cha Uganda kwenda kusoma cha Tanzania kwa kutumia ile admition letter niliyo tumia labda nikaenda kusoma ata open university

naomba kusaidiwa mawazo yenu wakuu nawakikisha
 
ushajiandaa kuacha kazi?
 
Back
Top Bottom