Naomba kujua kuhusu CESARE BORGIA

Picha ya yesu kwenye kitambaa leta maandiko na kuabudu sanamu leta maandiko ya Bible ni wapi imeonyesha mambo hayo?
Acha kukariri ati mambo yote isingeweza kuandikwa au wewe ndiye unaandika yote yaliyo sazwa umeyapata wapi?
Una Bible tofauti na hii tuliyo nayo?
Huwezi kufahamu kumi bila kuanzia moja ni lazima kufahamu yote ili mlengwa akipewa jibu awe na hakika
Hakika ipi...??
 
Picha ya yesu kwenye kitambaa leta maandiko na kuabudu sanamu leta maandiko ya Bible ni wapi imeonyesha mambo hayo?
Acha kukariri ati mambo yote isingeweza kuandikwa au wewe ndiye unaandika yote yaliyo sazwa umeyapata wapi?
Una Bible tofauti na hii tuliyo nayo?
Biblia imekamilika mwaka 300AD kabla ya huo mwaka Wakristo sehemu mbalimbali walikuwa wanatumia nini kama rejea...?

Yesu baada ya kupaa wanafunzi wake ndio walianzs kuandika habari zake....

Yesu alianza kufanya kazi aliyotumwa akiwa na umri wa miaka 33... Je! Unajana wake alikuwa anafanya nini..? Utoto wake je! Unafikiri alikaa bure?? Kwanini Nativity ya Yesu haikuandikwa. ? Unafikiri ilikuwa haina umuhimu..???
 
Hayo yote mnayoyataka hayakuwa lengo la mleta mada...Soma mada uelewe....

Acha kukurupuka mkuu hauoni hapo juu kuna pande mbili zinakinzana
Kuna ambao wanataka wafahamishwe kutoka katika biblia wapi walipoandika kuhusu masanamu na hiyo picha /sura ya yesu na upande mwingine unajaribu kukwepa swali na kujificha katika kivuli cha mara maneno ya kijiweni mara bible isingeweza kuandika yote mara yesu alitembea juu maji
Kwa akili zako ndogo unafikiri suluhisho la kumaliza mjadala huo ni nini ?? Na kama cyo kuletwa kwa hapo palipoandikwa kuhusu wanalohoji hao wakuu hapo
 
Acha kukurupuka mkuu hauoni hapo juu kuna pande mbili zinakinzana
Kuna ambao wanataka wafahamishwe kutoka katika biblia wapi walipoandika kuhusu masanamu na hiyo picha /sura na upande mwingine unajaribu kukwepa swali na kujificha katika kivuli cha mara maneno ya kijiweni mara bible isingeweza kuandika yote mara yesu alitembea juu maji
Kwa akili zako ndogo unafikiri suluhisho la kumaliza mjadala huo ni nini ?? Na kama cyo kuletwa kwa hapo palipoandikwa kuhusu wanalohoji hao wakuu hapo
Rejea yetu ni mada husika.....Hakuna pande mbili....Mada ipo straight....Cesare Borgia unamfahamu...?? Hiki ndio kiini cha mada....

Hayo mambo ya picha mmeyaleta nyinyi..

Kama unajibu la kumjibu mleta mada toa...
 
Zaidi ya Papa Petro aliyekuwa na mtoto hakuna rekodi ya Papa mwingine aliyewahi kuwa na mtoto..

Ni uzushi tuu
sababu umefichwa usijue....wewe uko huku TZ unasubir wakupe record wakuharibie. soma historia vzr na sio hii ya kukaririshwa kuwa umetokana na NYANI
 
sababu umefichwa usijue....wewe uko huku TZ unasubir wakupe record wakuharibie. soma historia vzr na sio hii ya kukaririshwa kuwa umetokana na NYANI
Na msubiri nani..??

Wewe hiyo unayoita ni historia ina ukweli gani hasa??? Nani anathibitisha ukweli huo...??tutajuaje kama ni fabricated..? Tujuze kama reliable history....
 
kuna kaujinga kanaendelea hapa, Vitu vingi vinaonekana vilibuniwa na philosophers.
 
Unashangaa papa kuwa na familia ukweli ni kuwa yesu mwenyewe alipokuwa duniani alikuwa na familia.ukweli huu umekuwa ukifichwa miaka na miaka na vitabu viliandika juu ya hili viliondolewa kwenye orodha ya vitabu kwenye bible
Haya uwanja ni wako tufichulie ukweli huu wa Yesu kuwa na familia na utupe reference.
 
Nakuambia ukweli soma Bible acha habari za kahawa
Mimi na wewe nani mwenye habari za vijiweni...?

Nimekuulia biblia imekamilka mwaka 300AD...je! Kabla ya hapo Wakristo wa mwanzo walikuwa wanatumia nini kama rejea ya Neno la Mungu...?
 
Rejea yetu ni mada husika.....Hakuna pande mbili....Mada ipo straight....Cesare Borgia unamfahamu...?? Hiki ndio kiini cha mada....

Hayo mambo ya picha mmeyaleta nyinyi..

Kama unajibu la kumjibu mleta mada toa...
Mkuu ili tupate jibu la msingi ni lazima kufahamu kila kinacho zunguka
 
Kama unataka majibu sahihi ya uluchouliza anzisha separate thread tutakuja kuchangia...
Kubali huna majibu unaishi kwa kukalilishwa bila kujifunza.
Ndg Mimi ni mkiristo Naweza kuwa msaada kwako sipendi watu wapotee, Anza Leo ujifunze bible usikaririshwe vijimaneno vya wasaka faida kwa mgongo wa yesu.
Jifunze Bible kwani zimeandikwa kwa kiswahili lahisi sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom