Msaada: Naomba kujua kirefu cha herufi IPP inayomilikiwa na Reginald Mengi

Bongolander

JF-Expert Member
Jul 10, 2007
5,067
2,197
Ndugu zangu msinicheke naomba mniambie waht does IPP stands for, nimeulizwa nimeshindwa kujibu!
 
Wandugu,
Mimi nina umri mkubwa kiasi, na niko Dar zaidi ya miaka 30 sasa. Nafahamu IPP ni group of companies zinazomillikiwa na bwaba R. Mengi. Lakini nini kirefu hasa cha IPP?
Help Please!
 
Haikuanza kama kampuni ya uzalishaji bali kama financial consultant na management (kusimamia uendeshaji) wakati huo ikiitwa Industrial Products Promotions. Baadae akaanza kumiliki biashara na pia aka-diversify mpaka kwenye media pia, kile kirefu cha IPP kikamezwa na hakijatumika tena kuitambulisha kundi hili la makampuni.
Kwa hiyo inabaki kuwa kama "neno" IPP Media na IPP Group of Companies.
 
Thanks man! I have learnt something.
Let us wait for more...
 
Wandugu,
Mimi nina umri mkubwa kiasi, na niko Dar zaidi ya miaka 30 sasa. Nafahamu IPP ni group of companies zinazomillikiwa na bwaba R. Mengi. Lakini nini kirefu hasa cha IPP?
Help Please!

Industrial Projects Promotions = IPP

Hapo penye red nadhani utakuwa si mkweli! Kwa sababu IPP imeanzishwa si zaidi ya miaka 25!
 
ha ha ha ha ha ha, kwanza mambo vipi? mzima wewe ngoja nikupe kirefu cha ipp ila ucje angua cheko na ukazimia kwa masaa yasiozidi 5, kirefu cha IPP NI (INTERNATIONAL PUMBA PRODUCER)
:mod: THANKS.:dance:
BYE:A S 103:
 
Industrial Projects Promotions = IPP

Hapo penye red nadhani utakuwa si mkweli! Kwa sababu IPP imeanzishwa si zaidi ya miaka 25!
Muwe mnatafakari kabla ya kulaumu au kutoa comments! Nani kasema IPP ina miaka 30? Nimesema mimi nina miaka 30 Dar! Pia mbona wajuzi manjichanganya? wewe wasema Industrial Projects Promotion....mwenzako kasema Industrial Products Promotion! Ipi sasa?
 
GENTAMYCINE
mbona jamaa yuko sahihi sema wewe hujui
zamani kirefu chake kilikuwa industrial products promotion but kwa sasa
imebaki hivyo hivyo bila kuwa na kirefu chake kama ilivyo kwa CRDB haina
kirefu
CRDB ina kirefu chake mdau,cooperative rural development bank..kama nimekosea naomba kusahihishwa
 
Last edited by a moderator:
Si kweli kwamba CRDB haina kirefu. Kirefu cha CRDB ni Cooperative Rural Development Bank.

Sawa,
Lakini maana ya jamaa ni kwamba kutokana na soko lilivyo kwa sasa, hivyo virefu havi'apply.. Zimebaki tu kama abbreviation sio brand..
 
GENTAMYCINE mbona jamaa yuko sahihi sema wewe hujui
zamani kirefu chake kilikuwa industrial products promotion but kwa sasa imebaki hivyo hivyo bila kuwa na kirefu chake kama ilivyo kwa CRDB haina kirefu

Nani Amekuambia CRDB Haina Kirefu? Central Rural and Development Bank ( crdb ) bisha na hii!!!!
 
CRDB ina kirefu chake mdau,cooperative rural development bank..kama nimekosea naomba kusahihishwa

Ni kweli benki hii ilipokuwa ikimilikiwa na serikali ilijulikana kama Cooperative Rural Development Bank (CRDB), yaani Benki ya Ushirika ya Maendeleo Vijijini, lakini iliacha kutumia jina hilo na badala yake ikawa inajulikana kama CRDB Bank baada ya kubinafsishwa na kupanua wigo wa huduma zake. Kirefu cha CRDB hakitumiki tena kama jina la benki. Kama mtu atang'ang'ania kutumia kirefu cha CRDB basi itamlazimu kusema Cooperative and Rural Development Bank Bank ('bank' zinakuwa mbili katika jina), kitu ambacho ni kichekesho.
 
Back
Top Bottom