Naomba kujua jamani

mzambia

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
885
60
Kuna yeyote anayemjua vizuri lusekelo raphael kibona
na anisaidie kuwayupo wapi?
 
Tumuombe ataje hizo details zaidi.
Nami nlitaka kuuliza umri wake& kabila lake...pia dini yake?

yah...sasa tutamuota bila kupata details zake.....inawezekana namfahamu ila sijui kama ndio huyo....jamaa atupe details kwanza
 
please jamani mwenye kumjua vizuri amwage cv zake hapa jamvini maana nasikia anajandaa kuwa mwanasiasa mkubwa na mafisadi wanaanza kuwa karibu naye
 
hakuna ulazima wa kumjua huyo lusekelo...mnamjua mtego wa noti?...mwageni cv zake hapa...i dont like such threads!!!!!
 
Back
Top Bottom