Naomba kujua historia ya Urusi

Ebana upo vizuri sana mkuu..umetisha mbaya..au wewe usalama wa taifa nini mana upo more than deep

People u may try to think well, kwan uwezo wa kutambua mambo hawakupewa waliopata nafasi huko tu, ni vema dhana hii ya kikale tukaiacha.
Tulifikir hivyo kutokana na sifa za watu hawa juu ya tuliyosimuliwa na kusoma magazetn na vitabun.
Wapo watu independently wameyasoma haya au wameishi wamesikia au ktk ukuaji na uzoefu ukatambua tu.

Nieleweke vema kuwa sijaponda ila nimekosoa kwa kingereza nimecritisize.
 
Ndugu yangu nashukuru sana. Lakini haiitaji kuwa usalama wa taifa kuyajua haya mambo.
Hata wewe ukiamua unaweza kuyajua, tena hata zaidi yangu.
Habari mkuu,
Kuna swala huwa najiuliza sana ila sipati jibu nafikiri unaweza kuniambia au yeyote anaweza kunielimisha japo kuna tofauti kidogo na mada hii.
Ni hivi wanausalama kama CIA,KGB,MOSSAD na vyombo vingine kama hivyo wanatumia njia gani za kiupepelezi ili kuweza kumpata mtu(hasa nao wanakuwa ni wanausalama kama wakina Snowden au yule aliyeuwawa na wanaodhaniwa ni KGB kule U.K) aliyekimbia nchi yake na kwenda kwingine hivyo kudhaniwa kuvujisha siri,mfano mwanausalama anatoroka Tanzania na kukimbilia let say USA,ile ni nchi kubwa sana,je wanajuaje alipo wakati mtu wa kawaida kumtafuta mtu kwenye mji mdogo tu bila ya kukutana accidentally njiani basi ndo humpati.
 
Hiyo rahisi sana hata kagame anawafyeka wabaya wake waliokimbilia South Africa ni kudukua mawasiliano yao tu unawapata kiulaini
 
Ukumbuke wanalijua hilo na wanaweza wasiwe na mawsiliano ya Internet au wakabadilisha kabisa Id zao.Pia,umetoka Tanzania mfano,umeenda Belgium let say,hapo utatumia number tofauti na huna mawasiliano na ndugu zako,hapo wanajuaje.
 
Ngoja nami niweke yangu machache ninayoyafahamu kuhusu Soviet Union;

George Herbert Walker Bush Senior , kabla ya kuwa Rais wa Marekani alikuwa ni mkurugenzi mkuu wa CIA.

Kipindi hicho cha huo ukurugenzi wa hilo shirika la ujasusi,ndipo alipompandikiza Michail Gorbachov kuwa wakala wao, na kupanga mipango yote ya jinsi ya kuisambaratisha USSR(Soviet Union).

Bush snr baada ya hapo akaja kugombea urais na kushinda, na kule Soviet Union Gorbachov akiwa Rais ndipo akaja kumalizia kazi yake aliyoianza wakati alipokuwa mkuu wa ujasusi ,ya kuusambaratisha Umoja wa kisoshalisti wa Urusi .

Mission Accomplish.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom